Hesabu kufuzu: Nashauri wana Yanga watembee na Scientific Calculator

Mhasibu hesabu rahisi hivyo unahitaji calculator? Yanga anatakiwa kushinda mechi zake mbili tu anaingia hatua inayofuata bila kujali matokeo ya wengine.
 
Na hao wengine wakishinda mechi zao 2?
Kama Yanga akishinda mechi zake mbili hao wengine hawawezi kushinda mechi zao zote mbili. Kwasababu mechi hizo ni miongoni mwa mbili za Yanga.
 
 
Last game ni Yanga Vs MC Algiers Kwa Mkapa.

Hii Game Yanga anahitaj Zaid ya goal mbil atakiw ashafuzu.

Al hilal Vs Yanga. Hii game tunachukua point. 3
Hata Yanga ikidroo mechi moja na kushinda moja inakwenda robo.
 
hiyo kalkuleta itacheza yenyewe kuwasaidia yanga?
 
Nami naongezea watumie zile zinazokubalika na NECTA ili kuepuka kugezelea!
 
Yanga safari hii ikiifunga Al hilal kutakuwa na uwezekano wa kuifunga mc Algers
 
Mbumbumbu akili zao ni ndogo wamesahau kundi A hata Mazembe ana nafasi ya kwenda robo
Klabu bingwa"""..hakuna kocha mpya wa timu yoyote aliyewavusha timu hatua ya makundi katika msimu wake wa kwanza... never....""" Labda wa yanga huyu awe wa kwanza....
 
Klabu bingwa"""..hakuna kocha mpya wa timu yoyote aliyewavusha timu hatua ya makundi katika msimu wake wa kwanza... never....""" Labda wa yanga huyu awe wa kwanza....
Gamondi ulikua na msimu wake wa ngapi alipo ivusha Yanga?
 
Wewe sasa inabidi utembee na visoda

Yanga hapo atakuwa na point 8, MCA akitoa droo na Yanga na kuifunga Mazembe atakuwa na point 9
hesabu rahisi ni yanga atoke drow na al hilal halafu yanga mechi ya mwisho kwa mkapa ashinde goli 3+
kama ilivyo kuwa mwaka jana na CR B.
 
hesabu rahisi ni yanga atoke drow na al hilal halafu yanga mechi ya mwisho kwa mkapa ashinde goli 3+
kama ilivyo kuwa mwaka jana na CR B.
Hesabu zinaanza kutazamiwa kesho Mc Alger vs Mazembe
 
Mc akishinda bado haiondoi yanga sc lazima washinde 3+ kwa mkapa na Mc.

tofauti na hapo watatoka tu.
Wala sio lazima, kinachotakiwa Yanga ashinde mechi zake zote mbili hata ikiwa kwa goli moja moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…