Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!

Hata kama rais ni Zero [emoji3447] kuna maneno akiyesema wew ndo unaiona aibu eti alikuwa kiongozi namba. 2
 
Asitukanwe, sawa kabisa.
Lakini kumheshimu, kumkosoa etc kuna standard ipi ifuatwe? maana kila mtu anatabia yake ya kuongea, tupo millioni 60, unataka standard iwe ipi, sioni hapo.

Heshima ni Pamoja ya kukubali kukosolewa.
 
Hatuheshiami tu kwasababu ya umri au jinsia bali tunaheshimiana kupitia matendo bora ya mhusika.

Ukiwa kiongozi utaheshimiwa tu kama matendo yako yanaleta tija kwa jamii na jamii inaona matokeo chanya ya fikra na matendo yako, hapo heshima itajijenga yenyewe.

Ukiwa kiongozi unapaswa pia kuheshimu unaowaongoza kwa kuwatendea yaliyo mema na manufaa kwa Taifa na vizazi vyake na inreturn sasa wananchi nao watakuheshimu.

Mwl Nyerere anaheshimika kwa kujitolea kudai uhuru wa Tanganyika na kulitumikia Taifa katika kipindi kigumu na kufa akiwa masikini na kuwaacha hata wanae wakiwa hohehahe huku angeweza kuwa trilionea yeye na watoto wake ~ Hii ni heshima kubwa mwalimu Nyerere ameiacha.

Nelson Mandela anaheshimika kwa watu wa SA kwa kukubali kukaa jela miaka 20 na zaidi akiwatetea na kuwapigania na hata alipotoka jela akahudumu kwa muda mfupi akaiacha nchi mikononi kwa wengine pasipo kuwa na historia mbaya.

Mifano ni mingi sana, HESHIMA HAIJI BURE inakuja kwa gharama lazima uijenge kwa kuleta matokeo chanya yatakayodumu milele na milele ~ Viongozi wetu wajifunze hili.
 
Eti naziba masikio kazi iendelee. Mtu asiyetaka kusikiliza wananchi wake watamheshimu vipi!? Heshimu Ili iheshimiwe.
 
Magufuli alitukanwa sana. Waliomuita JPM ni mshamba ni viongozi wa CCM kwa sasa na ambao ndio waliochukuliwa na Mwenyekiti kuwa wasaidizi wake. Maanake nini? Je, alikuwa akifurahia kutukanwa kwa aliyekuwa boss wake?
Kuna msemo unasema, rafiki wa adui yako, ni adui yao pia.
 



Tushakuzoea, njaa njaa njaa njaa tu, huna lolote.
 
Wanaojifanya kichwa Jiwe waache wapatiwe discipline maana hawakufundwa na wazazi wao.
 
Acha upuuzi wewe, usijifanye wewe una heshima na usipende kutulazimisha kuwapenda wazanzibar.
 
Yeye anawaheshimu wa Tanganyika?
 
Rais huyu huyu alisema taifa queens(timu ya taifa ya mpira wa miguu wanawake) kuwa wamekomaa,hawana mvuto na hakuna wa kuwatamani kuwaoa.
Hakuwahi kuomba radhi kwa kauli yake hii.
 
 
Ni mpumbavu tu ndio anayeweza kutaka heshima kwa watu anaowadharau, hatuwezi kumkosoa kwa staha akiwa jizi na dalali la Mali za umma!!. Samia ni tapeli na jambazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…