Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!

Pascal Mayalla hoja yako ni nzuri na ni ya msingi sana tena sana. Bahati mbaya sana maji yalishamwagika tangu siku ile Rais wetu Dkt Samia alipoanza kuonesha viashiria vya kudhihaki/kukebehi/kudharau/kubeza/kukaaa pale kauli tata za kutweza utu wa Dkt Magufuli. Tena tuliandika hata wewe ni shahidi, tena tulimuomba mara kibao hata Maxence Melo waangalie utaratibu wa kufunga na kuzui posti zote zinazotweza utu wa aliyetumikia taifa kwa uzalendo ila hatukusikilizwa. Sisi wachambuzi hatushangai maana hii tabia alianza kuilea Dkt Kikwete kwa wapinzani mpaka wakamuita dhaifu, akaja Dkt Magufuli akahakikisha tunakuwa na staha ila kaja Rais Dkt Samia akasema eti kulikuwa na simba ya Yuda ….
Hata kama rais ni Zero [emoji3447] kuna maneno akiyesema wew ndo unaiona aibu eti alikuwa kiongozi namba. 2
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana assume dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili in one!, hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, akosolewe kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.

Hoja hii ni kufuatia mjadala mingi kwenye mitandao ya jamii kwenye issue ya Bandari yetu na DPW, kuna watu wamevuka mipaka na kumkosea heshima Rais Samia na kumkosoa kwa lugha kali, kumtweza, kumkashifu na wengine kuvuka mipaka kwa kumtukana hadi matusi ya nguoni!, this is not right!.

Angalizo la Uzalendo Uchawa Vs Uzalendo Halisi!.

Kufuatia kuibuka kwa dhana ya uchawa, kuna watu wanajiita kabisa chawa wa Mama, hivyo mtu kama mimi nikijitokeza kutaka Rais Samia aheshimiwe, watu wenye akili fupi hawachelewi kuniona chawa!. Mimi sio chawa na hili sio bandiko la uchawa! ni bandiko la kukumbushana heshima ya Kiafrika ya heshima kitu cha bure, heshimu mkubwa, mdogo, heshimu wote.

Declaration ya Kutosaka Uteuzi.
Kumezuka mtindo wa sisi waandishi wa habari na watu wa media, tukiusifu utawala kwa mazuri au tukisifu viongozi, tunaonekana kuwa tunasaka uteuzi, naomba niwahakikishie tena Paskali hasaki uteuzi wowote na hili Paskali aliisha mueleza mteuzi mwenyewe face to face Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

The Duality of President. heshima ya lazima ya kimamlaka!, Akosolewe kwa Staha na Asitukanwe!.
Duality ni kanuni ya mtu mmoja ku na personalities mbili kwa wakati mmoja.
Rais wa nchi ni dual personality ana exist in duali,

Naomba usichangie kwanza, inaendelea ...

P
Asitukanwe, sawa kabisa.
Lakini kumheshimu, kumkosoa etc kuna standard ipi ifuatwe? maana kila mtu anatabia yake ya kuongea, tupo millioni 60, unataka standard iwe ipi, sioni hapo.

Heshima ni Pamoja ya kukubali kukosolewa.
 
Hatuheshiami tu kwasababu ya umri au jinsia bali tunaheshimiana kupitia matendo bora ya mhusika.

Ukiwa kiongozi utaheshimiwa tu kama matendo yako yanaleta tija kwa jamii na jamii inaona matokeo chanya ya fikra na matendo yako, hapo heshima itajijenga yenyewe.

Ukiwa kiongozi unapaswa pia kuheshimu unaowaongoza kwa kuwatendea yaliyo mema na manufaa kwa Taifa na vizazi vyake na inreturn sasa wananchi nao watakuheshimu.

Mwl Nyerere anaheshimika kwa kujitolea kudai uhuru wa Tanganyika na kulitumikia Taifa katika kipindi kigumu na kufa akiwa masikini na kuwaacha hata wanae wakiwa hohehahe huku angeweza kuwa trilionea yeye na watoto wake ~ Hii ni heshima kubwa mwalimu Nyerere ameiacha.

Nelson Mandela anaheshimika kwa watu wa SA kwa kukubali kukaa jela miaka 20 na zaidi akiwatetea na kuwapigania na hata alipotoka jela akahudumu kwa muda mfupi akaiacha nchi mikononi kwa wengine pasipo kuwa na historia mbaya.

Mifano ni mingi sana, HESHIMA HAIJI BURE inakuja kwa gharama lazima uijenge kwa kuleta matokeo chanya yatakayodumu milele na milele ~ Viongozi wetu wajifunze hili.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana assume dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili in one!, hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, akosolewe kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.

Hoja hii ni kufuatia mjadala mingi kwenye mitandao ya jamii kwenye issue ya Bandari yetu na DPW, kuna watu wamevuka mipaka na kumkosea heshima Rais Samia na kumkosoa kwa lugha kali, kumtweza, kumkashifu na wengine kuvuka mipaka kwa kumtukana hadi matusi ya nguoni!, this is not right!.

Angalizo la Uzalendo Uchawa Vs Uzalendo Halisi!.

Kufuatia kuibuka kwa dhana ya uchawa, kuna watu wanajiita kabisa chawa wa Mama, hivyo mtu kama mimi nikijitokeza kutaka Rais Samia aheshimiwe, watu wenye akili fupi hawachelewi kuniona chawa!. Mimi sio chawa na hili sio bandiko la uchawa! ni bandiko la kukumbushana heshima ya Kiafrika ya heshima kitu cha bure, heshimu mkubwa, mdogo, heshimu wote.

Declaration ya Kutosaka Uteuzi.
Kumezuka mtindo wa sisi waandishi wa habari na watu wa media, tukiusifu utawala kwa mazuri au tukisifu viongozi, tunaonekana kuwa tunasaka uteuzi, naomba niwahakikishie tena Paskali hasaki uteuzi wowote na hili Paskali aliisha mueleza mteuzi mwenyewe face to face Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

The Duality of President. heshima ya lazima ya kimamlaka!, Akosolewe kwa Staha na Asitukanwe!.
Duality ni kanuni ya mtu mmoja ku na personalities mbili kwa wakati mmoja.
Rais wa nchi ni dual personality ana exist in duali,

Naomba usichangie kwanza, inaendelea ...

P
Eti naziba masikio kazi iendelee. Mtu asiyetaka kusikiliza wananchi wake watamheshimu vipi!? Heshimu Ili iheshimiwe.
 
Magufuli alitukanwa sana. Waliomuita JPM ni mshamba ni viongozi wa CCM kwa sasa na ambao ndio waliochukuliwa na Mwenyekiti kuwa wasaidizi wake. Maanake nini? Je, alikuwa akifurahia kutukanwa kwa aliyekuwa boss wake?
Kuna msemo unasema, rafiki wa adui yako, ni adui yao pia.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana assume dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili in one!, hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, akosolewe kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.

Hoja hii ni kufuatia mjadala mingi kwenye mitandao ya jamii kwenye issue ya Bandari yetu na DPW, kuna watu wamevuka mipaka na kumkosea heshima Rais Samia na kumkosoa kwa lugha kali, kumtweza, kumkashifu na wengine kuvuka mipaka kwa kumtukana hadi matusi ya nguoni!, this is not right!.

Angalizo la Uzalendo Uchawa Vs Uzalendo Halisi!.

Kufuatia kuibuka kwa dhana ya uchawa, kuna watu wanajiita kabisa chawa wa Mama, hivyo mtu kama mimi nikijitokeza kutaka Rais Samia aheshimiwe, watu wenye akili fupi hawachelewi kuniona chawa!. Mimi sio chawa na hili sio bandiko la uchawa! ni bandiko la kukumbushana heshima ya Kiafrika ya heshima kitu cha bure, heshimu mkubwa, mdogo, heshimu wote.

Declaration ya Kutosaka Uteuzi.
Kumezuka mtindo wa sisi waandishi wa habari na watu wa media, tukiusifu utawala kwa mazuri au tukisifu viongozi, tunaonekana kuwa tunasaka uteuzi, naomba niwahakikishie tena Paskali hasaki uteuzi wowote na hili Paskali aliisha mueleza mteuzi mwenyewe face to face Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

The Duality of President. heshima ya lazima ya kimamlaka!, Akosolewe kwa Staha na Asitukanwe!.
Duality ni kanuni ya mtu mmoja ku na personalities mbili kwa wakati mmoja.
Rais wa nchi ni dual personality ana exist in duali,

Naomba usichangie kwanza, inaendelea ...

P

Tushakuzoea, njaa njaa njaa njaa tu, huna lolote.
 
Wanaojifanya kichwa Jiwe waache wapatiwe discipline maana hawakufundwa na wazazi wao.
 
Acha upuuzi wewe, usijifanye wewe una heshima na usipende kutulazimisha kuwapenda wazanzibar.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana assume dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili in one!, hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, akosolewe kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.

Hoja hii ni kufuatia mjadala mingi kwenye mitandao ya jamii kwenye issue ya Bandari yetu na DPW, kuna watu wamevuka mipaka na kumkosea heshima Rais Samia na kumkosoa kwa lugha kali, kumtweza, kumkashifu na wengine kuvuka mipaka kwa kumtukana hadi matusi ya nguoni!, this is not right!.

Angalizo la Uzalendo Uchawa Vs Uzalendo Halisi!.

Kufuatia kuibuka kwa dhana ya uchawa, kuna watu wanajiita kabisa chawa wa Mama, hivyo mtu kama mimi nikijitokeza kutaka Rais Samia aheshimiwe wote, watu wenye akili fupi hawachelewi kuniona chawa!. Mimi sio chawa na hili sio bandiko la uchawa! ni bandiko la kukumbushana heshima ya kiasili ya Kiafrika ya heshima kitu cha bure, mkubwa kumheshimu mdogo, na mdogo kumheshimu mkubwa, heshima kwa wote.

Declaration ya Kutosaka Uteuzi.
Kumezuka mtindo wa sisi waandishi wa habari na watu wa media, tukiusifu utawala kwa mazuri au tukisifu viongozi, tunaonekana kuwa tunasaka uteuzi, naomba niwahakikishie tena Paskali hasaki uteuzi wowote na hili Paskali aliisha mueleza mteuzi mwenyewe face to face Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!

The Duality of President. heshima ya lazima ya kimamlaka!, Akosolewe kwa Staha na Asitukanwe!.
Duality ni kanuni ya mtu mmoja ku na personalities mbili kwa wakati mmoja.
Rais wa nchi ni dual personality ana personalities mbili ambazo ni duality but they exist in one!. Yaani ni mtu mmoja mwenye two personalities ambazo zina exist in one and at the same time.

Kanuni hii ya double personalities au dual personality imezungumzwa vizuri na Mwana Saikolojia mahiri wa Marekani, Dr. Segmund Freud katika kitabu chake cha Dr. Jekyll and Mr. Hyde ambapo mtu nmoja mchana yuko vingine na usiku yuko vingine kama watu wawili tofauti.

Hii duality ipo sana katika jamii zetu mfano mzuri ni wanga, wachawi na washirikina, ukiwaona mchana ni watu wa kawaida, lakini usiku ni watu wengine kabisa!.

Persnality ya kwanza ya Rais wa nchi ni mtu binadamu, a human being kama binadamu mwingine yoyote wa kawaida anayeitwa Samia Suluhu Hassan, Huyu ni human being, she has feelings, compassion na ana mahitaji mengine yote ya kibinaadamu ikiwemo heshima, love and dignity and can make mistakes just like any other human beings. Hivyo huyu Samia ambaye she is only a human, unaweza kumpenda au usimpende, unaweza usimkubali, unaweza kumbeza, unaweza kumtukana na kumdhalilisha au kusema chochote kumhusu mtu anayeitwa Samia Suluhu Hassan na hakuna tatizo!. Mfano mzuri wa hili ni huyu mtu niliyemzungumzia hapa Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? bandiko kama hili liliwezekana kupandishwa kwasababu she is just a human na enzi hizo alikuwa na single personality, sasa with dual personality bandiko kama hili haliwezi kupanda.

Naomba usichangie kwanza, inaendelea ...

P
Yeye anawaheshimu wa Tanganyika?
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo

P
Rais huyu huyu alisema taifa queens(timu ya taifa ya mpira wa miguu wanawake) kuwa wamekomaa,hawana mvuto na hakuna wa kuwatamani kuwaoa.
Hakuwahi kuomba radhi kwa kauli yake hii.
 
Pascal Mayalla hoja yako ni nzuri na ni ya msingi sana tena sana. Bahati mbaya sana maji yalishamwagika tangu siku ile Rais wetu Dkt Samia alipoanza kuonesha viashiria vya kudhihaki/kukebehi/kudharau/kubeza/kukaaa kimya pale kauli tata za kutweza utu wa Dkt Magufuli na yeye mwenyewe pia kutoa kauli tata kipindi cha maombolezo. Tena tuliandika hata wewe ni shahidi, tena tulimuomba mara kibao hata Maxence Melo waangalie utaratibu wa kufunga na kuzui posti zote zinazotweza utu wa aliyetumikia taifa kwa uzalendo ila hatukusikilizwa. Sisi wachambuzi hatushangai maana hii tabia alianza kuilea Dkt Kikwete kwa wapinzani mpaka wakamuita dhaifu, akaja Dkt Magufuli akahakikisha tunakuwa na staha ila kaja Rais Dkt Samia akasema eti kulikuwa na simba ya Yuda ….
[/QUTE]
Hoja yako dhaifu sana
Stop glorifying people.
 
Ni mpumbavu tu ndio anayeweza kutaka heshima kwa watu anaowadharau, hatuwezi kumkosoa kwa staha akiwa jizi na dalali la Mali za umma!!. Samia ni tapeli na jambazi.
 
Back
Top Bottom