Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!

Paskali unajaribu kupita mule mule alimopita Prof Kitila Mkumbo. Kwa namna Bandari ilivyo kaa la moto, this time around unaukwaa uteuzi
 
Ili upate heshima unabidi kujiheshimu Mtu unalipwa Zaidi ya mil 40 kwa mwezi una bima kubwa Una marupu rupu kibao , Then upo secured , Sasa ni tamaa gani inakutuma kuuza vitu ambavyo sio vyako .

Kea umri wa miaka 50yrs binafsi naona ni umri wa Mtu kupambana kuacha Legacy na sio kuwa na tamaa ya pesa tena ..
 
Hawa wanaharakati na wanasiasa wavuta bangi watakuelewa kweli ?
 
Kazi ya uongozi Sio kukuna nazi
Mwalimu alisema "Mtu mwenye akili timamu hawezi tamani kuwa kiongozi nchi hii".
Magufuli alisema" uongozi ni mateso"
 
Point
 
Unapataje kuheshimu mtu ambaye anafanya Mambo ya kijinga.....! Nilijua Samia ni kiongozi wa Hovyo lakini sikudhani angekuwa wa Hovyo kiasi hiki.

Ni wakati wa Watanganyika Kulinda Mali za Tanganyika Yao kuliko wakati Wowote.
 
Tunaposema chaguzi ziheshimiwe ni pamoja na kuwa na haki ya kuheshimiwa. Sasa unaingia madarakani kwa njia zisizo za heshima, kisha unataka upewe heshima baada ya kupata madaraka hayo?! Kwa ule uhayawani wa 2020, utawala huu hauna uhalali wa kutaka hiyo heshima. Sana sana uongelee kuogopwa na sio kuheshimiwa.
 
Dr. Jekyll and Mr. Hyde kiliandikwa na Robert Louis Stevenson, sio Sigmund Freud. Mojawapo ya vitabu maarufu cha Freud ni " The Ego and the ID" alichoandika 1923.

Amandla...
 
Mimi binafsi sipendi lugha za matusi. Lakini unaporuhusu wengine watukanwe basi jua iko siku na wewe utatukanwa. Hauwezi kukaa kimya wakati viongozi wa vyama vingine vya siasa wakitukanwa na wengine mpaka kutishiwa uhai wao halafu ukashangaa watu wakiwatukana viongozi wa chama chako.

Ukweli ni kuwa hayo unayoita matusi siku hizi yanakubalika sana katika jamii yetu. Lugha zinazotumika leo JF ( ikiwa pamoja na matusi ya nguoni) zilikuwa hazivumiliwi miaka 10 tu iliyopita. Inabidi tuzoee tu.

Amandla...
 
Hoja ya kipumbavu kabisa. Kitu gani kimeuzwa?
 
Wakati marehemu Magufuli anatukanwa na ikizingatiwa hawezi kujitetea,mama yako na wewe mlikaa kimya bila makala wala kukemea

Atulie,alichomfanyia hayati Magufuli ndicho anachokipata
 
HILI "KABILA" MAFUNDI WA UCHAWA! NA WANAUWEZA KWELI KWELI.
 
Huyu mama nilichogundua, Uwezo wake mdogo sana, hawezi kuimudu nafasi ya urais. Ni kubwa mno kwake. Ataitumbukiza Nchi kwenye machafuko.
 
mbona ni watu wachache sana wamemtukana lakini mnapaisha as if watanzania wote wamemtukana? Mange na nani sijui. ila wengi wamakosoa kwa staha na kwa hoja. kibaya zaidi hoja zenyewe hazijibiwi na yeye au wasaidizi wake.
 
Kunq watu humu wapumbavu mnajifanya mnaujua uongozi ila familia zenu zimewashinda kuongoza mpaka mnachapiwa wake zenu na mnalea watoto wasio kuwa wenu
 
Wenyewe wakijiheshimu kwa kutokufanya maamuzi yenye utata mfano kuingia mikataba yenye utata wataheshimiwa tu bila hivyo hata mawe yataongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…