Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paskali unajaribu kupita mule mule alimopita Prof Kitila Mkumbo. Kwa namna Bandari ilivyo kaa la moto, this time around unaukwaa uteuziWanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana assume dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili in one!, hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, akosolewe kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.
Hoja hii ni kufuatia mjadala mingi kwenye mitandao ya jamii kwenye issue ya Bandari yetu na DPW, kuna watu wamevuka mipaka na kumkosea heshima Rais Samia na kumkosoa kwa lugha kali, kumtweza, kumkashifu na wengine kuvuka mipaka kwa kumtukana hadi matusi ya nguoni!, this is not right!.
Angalizo la Uzalendo Uchawa Vs Uzalendo Halisi!.
Kufuatia kuibuka kwa dhana ya uchawa, kuna watu wanajiita kabisa chawa wa Mama, hivyo mtu kama mimi nikijitokeza kutaka Rais Samia aheshimiwe wote, watu wenye akili fupi hawachelewi kuniona chawa!. Mimi sio chawa na hili sio bandiko la uchawa! ni bandiko la kukumbushana heshima ya kiasili ya Kiafrika ya heshima kitu cha bure, mkubwa kumheshimu mdogo, na mdogo kumheshimu mkubwa, heshima kwa wote.
Declaration ya Kutosaka Uteuzi.
Kumezuka mtindo wa sisi waandishi wa habari na watu wa media, tukiusifu utawala kwa mazuri au tukisifu viongozi, tunaonekana kuwa tunasaka uteuzi, naomba niwahakikishie tena Paskali hasaki uteuzi wowote na hili Paskali aliisha mueleza mteuzi mwenyewe face to face Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
The Duality of President. heshima ya lazima ya kimamlaka!, Akosolewe kwa Staha na Asitukanwe!.
Duality ni kanuni ya mtu mmoja ku na personalities mbili kwa wakati mmoja.
Rais wa nchi ni dual personality ana personalities mbili ambazo ni duality but they exist in one!. Yaani ni mtu mmoja mwenye two personalities ambazo zina exist in one and at the same time.
Kanuni hii ya double personalities au dual personality imezungumzwa vizuri na Mwana Saikolojia mahiri wa Marekani, Dr. Segmund Freud katika kitabu chake cha Dr. Jekyll and Mr. Hyde ambapo mtu nmoja mchana yuko vingine na usiku yuko vingine kama watu wawili tofauti.
Hii duality ipo sana katika jamii zetu mfano mzuri ni wanga, wachawi na washirikina, ukiwaona mchana ni watu wa kawaida, lakini usiku ni watu wengine kabisa!.
Persnality ya kwanza ya Rais wa nchi ni mtu binadamu, a human being kama binadamu mwingine yoyote wa kawaida anayeitwa Samia Suluhu Hassan, Huyu ni human being, she has feelings, compassion na ana mahitaji mengine yote ya kibinaadamu ikiwemo heshima, love and dignity and can make mistakes just like any other human beings. Hivyo huyu Samia ambaye she is only a human, unaweza kumpenda au usimpende, unaweza usimkubali, unaweza kumbeza, unaweza kumtukana na kumdhalilisha au kusema chochote kumhusu mtu anayeitwa Samia Suluhu Hassan na hakuna tatizo!. Mfano mzuri wa hili ni huyu mtu niliyemzungumzia hapa Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? bandiko kama hili liliwezekana kupandishwa kwasababu she is just a human na enzi hizo alikuwa na single personality, sasa with dual personality bandiko kama hili haliwezi kupanda.
Personality ya pili ya Rais Samia, ni rais wa nchi, hivyo huyu binadamu anaitwa Samia Suluhu Hassan, baada ya kuwa ni rais wa nchi, assume kitu kinachoitwa presidential personality, huyu sasa sio mtu binadamu, ni mtu taasisi yenye mamlaka ya juu kabisa ndani ya JMT, hivyo rais wa nchi kwa personality yake ya urais, ni lazima aheshimiwe, utii kwa mamlaka, huwezi kumtukana, huwezi kumdhalilisha, itakuwa ni kuitukana taasisi ya urais.
Rais Samia kama taasisi ya urais, huhitaji kumpenda lakini ni lazima kumheshimu. Rais Samia kama taasisi ya urais, she is not human, hawezi kufanya makosa ndio maana hawezi kushitakiwa!.
Wito kama huu niliwahi kuutoa enzi za utawala wa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim! na wakati wa Magufuli pia nilishauri Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli
Hivyo sasa tuko na Samia, tunaweza tusimpende lakini lazima tumuheshimu na ukitokea ukosoaji, tumkosoe kwa lugha ya staha na sio kumtukana na kumdhalilisha.
Niliwahi kushauri humu kuwa Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda unaweza usimpende lakini ni lazima kumheshimu.
Hitimisho
Rais Samia ni rais wetu, tumpende, tumheshimu, tumsuport, na hata ikitokea, kuna sehemu anakosea tumkosoe kwa heshima na staha.
Kwa sisi wengine ambao tunamkubali Samia kama Mama, mzazi wako, hata akukosee vipi, kamwe huwezi kumtukana!. Samia ni Mama wa Taifa, tumheshimu, namalizia kwa msisitizo huu
Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.
Paskali
Hawa wanaharakati na wanasiasa wavuta bangi watakuelewa kweli ?Wanabodi,

PointKaka Paskali,
Heshima ipo kwa namna mbili, ya kwanza ni heshima itokanayo na nafasi au cheo chako na ya pili i ile itokanayo na namna mtu anavyowaheshimu wengine. Heshima itokanayo na nafsi huwa haivunjwi, ila hii inayotoka na namna mtu anavyowaheshimu wengine ndiyo ambayo huvunjwa. Kwa bahati mbaya, zote mbili zipo kwa mtu mmoja na hili husababisha kushindwa kutofautisha ipi hasa iliyovunjwa.
Tunaposema chaguzi ziheshimiwe ni pamoja na kuwa na haki ya kuheshimiwa. Sasa unaingia madarakani kwa njia zisizo za heshima, kisha unataka upewe heshima baada ya kupata madaraka hayo?! Kwa ule uhayawani wa 2020, utawala huu hauna uhalali wa kutaka hiyo heshima. Sana sana uongelee kuogopwa na sio kuheshimiwa.Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana assume dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili in one!, hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, akosolewe kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.
Hoja hii ni kufuatia mjadala mingi kwenye mitandao ya jamii kwenye issue ya Bandari yetu na DPW, kuna watu wamevuka mipaka na kumkosea heshima Rais Samia na kumkosoa kwa lugha kali, kumtweza, kumkashifu na wengine kuvuka mipaka kwa kumtukana hadi matusi ya nguoni!, this is not right!.
Angalizo la Uzalendo Uchawa Vs Uzalendo Halisi!.
Kufuatia kuibuka kwa dhana ya uchawa, kuna watu wanajiita kabisa chawa wa Mama, hivyo mtu kama mimi nikijitokeza kutaka Rais Samia aheshimiwe wote, watu wenye akili fupi hawachelewi kuniona chawa!. Mimi sio chawa na hili sio bandiko la uchawa! ni bandiko la kukumbushana heshima ya kiasili ya Kiafrika ya heshima kitu cha bure, mkubwa kumheshimu mdogo, na mdogo kumheshimu mkubwa, heshima kwa wote.
Declaration ya Kutosaka Uteuzi.
Kumezuka mtindo wa sisi waandishi wa habari na watu wa media, tukiusifu utawala kwa mazuri au tukisifu viongozi, tunaonekana kuwa tunasaka uteuzi, naomba niwahakikishie tena Paskali hasaki uteuzi wowote na hili Paskali aliisha mueleza mteuzi mwenyewe face to face Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
The Duality of President. heshima ya lazima ya kimamlaka!, Akosolewe kwa Staha na Asitukanwe!.
Duality ni kanuni ya mtu mmoja ku na personalities mbili kwa wakati mmoja.
Rais wa nchi ni dual personality ana personalities mbili ambazo ni duality but they exist in one!. Yaani ni mtu mmoja mwenye two personalities ambazo zina exist in one and at the same time.
Kanuni hii ya double personalities au dual personality imezungumzwa vizuri na Mwana Saikolojia mahiri wa Marekani, Dr. Segmund Freud katika kitabu chake cha Dr. Jekyll and Mr. Hyde ambapo mtu nmoja mchana yuko vingine na usiku yuko vingine kama watu wawili tofauti.
Hii duality ipo sana katika jamii zetu mfano mzuri ni wanga, wachawi na washirikina, ukiwaona mchana ni watu wa kawaida, lakini usiku ni watu wengine kabisa!.
Persnality ya kwanza ya Rais wa nchi ni mtu binadamu, a human being kama binadamu mwingine yoyote wa kawaida anayeitwa Samia Suluhu Hassan, Huyu ni human being, she has feelings, compassion na ana mahitaji mengine yote ya kibinaadamu ikiwemo heshima, love and dignity and can make mistakes just like any other human beings. Hivyo huyu Samia ambaye she is only a human, unaweza kumpenda au usimpende, unaweza usimkubali, unaweza kumbeza, unaweza kumtukana na kumdhalilisha au kusema chochote kumhusu mtu anayeitwa Samia Suluhu Hassan na hakuna tatizo!. Mfano mzuri wa hili ni huyu mtu niliyemzungumzia hapa Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? bandiko kama hili liliwezekana kupandishwa kwasababu she is just a human na enzi hizo alikuwa na single personality, sasa with dual personality bandiko kama hili haliwezi kupanda.
Personality ya pili ya Rais Samia, ni rais wa nchi, hivyo huyu binadamu anaitwa Samia Suluhu Hassan, baada ya kuwa ni rais wa nchi, assume kitu kinachoitwa presidential personality, huyu sasa sio mtu binadamu, ni mtu taasisi yenye mamlaka ya juu kabisa ndani ya JMT, hivyo rais wa nchi kwa personality yake ya urais, ni lazima aheshimiwe, utii kwa mamlaka, huwezi kumtukana, huwezi kumdhalilisha, itakuwa ni kuitukana taasisi ya urais.
Rais Samia kama taasisi ya urais, huhitaji kumpenda lakini ni lazima kumheshimu. Rais Samia kama taasisi ya urais, she is not human, hawezi kufanya makosa ndio maana hawezi kushitakiwa!.
Wito kama huu niliwahi kuutoa enzi za utawala wa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim! na wakati wa Magufuli pia nilishauri Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli
Hivyo sasa tuko na Samia, tunaweza tusimpende lakini lazima tumuheshimu na ukitokea ukosoaji, tumkosoe kwa lugha ya staha na sio kumtukana na kumdhalilisha.
Niliwahi kushauri humu kuwa Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda unaweza usimpende lakini ni lazima kumheshimu.
Hitimisho
Rais Samia ni rais wetu, tumpende, tumheshimu, tumsuport, na hata ikitokea, kuna sehemu anakosea tumkosoe kwa heshima na staha.
Kwa sisi wengine ambao tunamkubali Samia kama Mama, mzazi wako, hata akukosee vipi, kamwe huwezi kumtukana!. Samia ni Mama wa Taifa, tumheshimu, namalizia kwa msisitizo huu
Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.
Paskali
Dr. Jekyll and Mr. Hyde kiliandikwa na Robert Louis Stevenson, sio Sigmund Freud. Mojawapo ya vitabu maarufu cha Freud ni " The Ego and the ID" alichoandika 1923.Kanuni hii ya double personalities au dual personality imezungumzwa vizuri na Mwana Saikolojia mahiri wa Marekani, Dr. Segmund Freud katika kitabu chake cha Dr. Jekyll and Mr. Hyde ambapo mtu nmoja mchana yuko vingine na usiku yuko vingine kama watu wawili tofauti.
Paskali
Hoja ya kipumbavu kabisa. Kitu gani kimeuzwa?Ili upate heshima unabidi kujiheshimu Mtu unalipwa Zaidi ya mil 40 kwa mwezi una bima kubwa Una marupu rupu kibao , Then upo secured , Sasa ni tamaa gani inakutuma kuuza vitu ambavyo sio vyako .
Kea umri wa miaka 50yrs binafsi naona ni umri wa Mtu kupambana kuacha Legacy na sio kuwa na tamaa ya pesa tena ..
Wakati marehemu Magufuli anatukanwa na ikizingatiwa hawezi kujitetea,mama yako na wewe mlikaa kimya bila makala wala kukemeaWanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana assume dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili in one!, hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, akosolewe kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.
Hoja hii ni kufuatia mjadala mingi kwenye mitandao ya jamii kwenye issue ya Bandari yetu na DPW, kuna watu wamevuka mipaka na kumkosea heshima Rais Samia na kumkosoa kwa lugha kali, kumtweza, kumkashifu na wengine kuvuka mipaka kwa kumtukana hadi matusi ya nguoni!, this is not right!.
Angalizo la Uzalendo Uchawa Vs Uzalendo Halisi!.
Kufuatia kuibuka kwa dhana ya uchawa, kuna watu wanajiita kabisa chawa wa Mama, hivyo mtu kama mimi nikijitokeza kutaka Rais Samia aheshimiwe wote, watu wenye akili fupi hawachelewi kuniona chawa!. Mimi sio chawa na hili sio bandiko la uchawa! ni bandiko la kukumbushana heshima ya kiasili ya Kiafrika ya heshima kitu cha bure, mkubwa kumheshimu mdogo, na mdogo kumheshimu mkubwa, heshima kwa wote.
Declaration ya Kutosaka Uteuzi.
Kumezuka mtindo wa sisi waandishi wa habari na watu wa media, tukiusifu utawala kwa mazuri au tukisifu viongozi, tunaonekana kuwa tunasaka uteuzi, naomba niwahakikishie tena Paskali hasaki uteuzi wowote na hili Paskali aliisha mueleza mteuzi mwenyewe face to face Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
The Duality of President. heshima ya lazima ya kimamlaka!, Akosolewe kwa Staha na Asitukanwe!.
Duality ni kanuni ya mtu mmoja ku na personalities mbili kwa wakati mmoja.
Rais wa nchi ni dual personality ana personalities mbili ambazo ni duality but they exist in one!. Yaani ni mtu mmoja mwenye two personalities ambazo zina exist in one and at the same time.
Kanuni hii ya double personalities au dual personality imezungumzwa vizuri na Mwana Saikolojia mahiri wa Marekani, Dr. Segmund Freud katika kitabu chake cha Dr. Jekyll and Mr. Hyde ambapo mtu nmoja mchana yuko vingine na usiku yuko vingine kama watu wawili tofauti.
Hii duality ipo sana katika jamii zetu mfano mzuri ni wanga, wachawi na washirikina, ukiwaona mchana ni watu wa kawaida, lakini usiku ni watu wengine kabisa!.
Persnality ya kwanza ya Rais wa nchi ni mtu binadamu, a human being kama binadamu mwingine yoyote wa kawaida anayeitwa Samia Suluhu Hassan, Huyu ni human being, she has feelings, compassion na ana mahitaji mengine yote ya kibinaadamu ikiwemo heshima, love and dignity and can make mistakes just like any other human beings. Hivyo huyu Samia ambaye she is only a human, unaweza kumpenda au usimpende, unaweza usimkubali, unaweza kumbeza, unaweza kumtukana na kumdhalilisha au kusema chochote kumhusu mtu anayeitwa Samia Suluhu Hassan na hakuna tatizo!. Mfano mzuri wa hili ni huyu mtu niliyemzungumzia hapa Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? bandiko kama hili liliwezekana kupandishwa kwasababu she is just a human na enzi hizo alikuwa na single personality, sasa with dual personality bandiko kama hili haliwezi kupanda.
Personality ya pili ya Rais Samia, ni rais wa nchi, hivyo huyu binadamu anaitwa Samia Suluhu Hassan, baada ya kuwa ni rais wa nchi, assume kitu kinachoitwa presidential personality, huyu sasa sio mtu binadamu, ni mtu taasisi yenye mamlaka ya juu kabisa ndani ya JMT, hivyo rais wa nchi kwa personality yake ya urais, ni lazima aheshimiwe, utii kwa mamlaka, huwezi kumtukana, huwezi kumdhalilisha, itakuwa ni kuitukana taasisi ya urais.
Rais Samia kama taasisi ya urais, huhitaji kumpenda lakini ni lazima kumheshimu. Rais Samia kama taasisi ya urais, she is not human, hawezi kufanya makosa ndio maana hawezi kushitakiwa!.
Wito kama huu niliwahi kuutoa enzi za utawala wa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim! na wakati wa Magufuli pia nilishauri Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli
Hivyo sasa tuko na Samia, tunaweza tusimpende lakini lazima tumuheshimu na ukitokea ukosoaji, tumkosoe kwa lugha ya staha na sio kumtukana na kumdhalilisha.
Niliwahi kushauri humu kuwa Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda unaweza usimpende lakini ni lazima kumheshimu.
Hitimisho
Rais Samia ni rais wetu, tumpende, tumheshimu, tumsuport, na hata ikitokea, kuna sehemu anakosea tumkosoe kwa heshima na staha.
Kwa sisi wengine ambao tunamkubali Samia kama Mama, mzazi wako, hata akukosee vipi, kamwe huwezi kumtukana!. Samia ni Mama wa Taifa, tumheshimu, namalizia kwa msisitizo huu
Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.
Paskali
HILI "KABILA" MAFUNDI WA UCHAWA! NA WANAUWEZA KWELI KWELI.Wanabodi,

Huyu mama nilichogundua, Uwezo wake mdogo sana, hawezi kuimudu nafasi ya urais. Ni kubwa mno kwake. Ataitumbukiza Nchi kwenye machafuko.Hayupo yeyote mwenye akili timamu, anayejiheshimu, aache kumheshimu mwingine, na mara zote, heshima ya mtu hulindwa na mtu mwenyewe, usijivunjie heshima yako mwenyewe, kwa matendo na maneno yako ya kijeuri kwangu, halafu utegemee niendelee kukulindia heshima yako, huo ni ujinga usiowezekana.
Na kwa wale chawa wanaotulazimisha kumheshimu mtu aliyeshindwa kujiheshimu mwenyewe, kuheshimu thamani ya utu wetu, thamani ya ardhi yetu na mipaka yake, nawashauri waendelee na mapenzi yao ya kijinga, ili mwisho wa siku kwasababu wamechagua kuongozwa na mjinga, basi wote wakatumbukie shimoni, lakini wasitarajie kututumbukiza werevu.
😅😅Rais huyu huyu alisema taifa queens(timu ya taifa ya mpira wa miguu wanawake) kuwa wamekomaa,hawana mvuto na hakuna wa kuwatamani kuwaoa.
Hakuwahi kuomba radhi kwa kauli yake hii.
mbona ni watu wachache sana wamemtukana lakini mnapaisha as if watanzania wote wamemtukana? Mange na nani sijui. ila wengi wamakosoa kwa staha na kwa hoja. kibaya zaidi hoja zenyewe hazijibiwi na yeye au wasaidizi wake.Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni makala elimishi ikielimisha kuhusu heshima ni kitu cha bure, hivyo kuwaelimisha wana jf na mitandao ya kijamii, kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote, lakini ni lazima aheshimiwe na wote kwasababu mtu akiishakuwa rais wa nchi, hapo hapo ana assume dual personality, yaani wanakuwa ni watu wawili in one!, hivyo rais wa nchi ni lazima aheshimiwe kwa heshima ya lazima ya kimamlaka, akosolewe kwa lugha ya staha, asitukanwe wala asitusiwe!.
Hoja hii ni kufuatia mjadala mingi kwenye mitandao ya jamii kwenye issue ya Bandari yetu na DPW, kuna watu wamevuka mipaka na kumkosea heshima Rais Samia na kumkosoa kwa lugha kali, kumtweza, kumkashifu na wengine kuvuka mipaka kwa kumtukana hadi matusi ya nguoni!, this is not right!.
Angalizo la Uzalendo Uchawa Vs Uzalendo Halisi!.
Kufuatia kuibuka kwa dhana ya uchawa, kuna watu wanajiita kabisa chawa wa Mama, hivyo mtu kama mimi nikijitokeza kutaka Rais Samia aheshimiwe wote, watu wenye akili fupi hawachelewi kuniona chawa!. Mimi sio chawa na hili sio bandiko la uchawa! ni bandiko la kukumbushana heshima ya kiasili ya Kiafrika ya heshima kitu cha bure, mkubwa kumheshimu mdogo, na mdogo kumheshimu mkubwa, heshima kwa wote.
Declaration ya Kutosaka Uteuzi.
Kumezuka mtindo wa sisi waandishi wa habari na watu wa media, tukiusifu utawala kwa mazuri au tukisifu viongozi, tunaonekana kuwa tunasaka uteuzi, naomba niwahakikishie tena Paskali hasaki uteuzi wowote na hili Paskali aliisha mueleza mteuzi mwenyewe face to face Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza!
The Duality of President. heshima ya lazima ya kimamlaka!, Akosolewe kwa Staha na Asitukanwe!.
Duality ni kanuni ya mtu mmoja ku na personalities mbili kwa wakati mmoja.
Rais wa nchi ni dual personality ana personalities mbili ambazo ni duality but they exist in one!. Yaani ni mtu mmoja mwenye two personalities ambazo zina exist in one and at the same time.
Kanuni hii ya double personalities au dual personality imezungumzwa vizuri na Mwana Saikolojia mahiri wa Marekani, Dr. Segmund Freud katika kukichambua kitabu cha Dr. Jekyll and Mr. Hyde, kilichoandikwa na Dr. Robert Luis Stevenson aliyeandika pia kitabu cha Kisiwa chenye Hazina, Treasure Island, ambapo mtu mmoja mwenye double personality mchana yuko vingine na usiku yuko vingine kama watu wawili tofauti.
Hii duality ipo sana katika jamii zetu mfano mzuri ni wanga, wachawi na washirikina, ukiwaona mchana ni watu wa kawaida, lakini usiku ni watu wengine kabisa!.
Persnality ya kwanza ya Rais wa nchi ni mtu binadamu, a human being kama binadamu mwingine yoyote wa kawaida anayeitwa Samia Suluhu Hassan, Huyu ni human being, she has feelings, compassion na ana mahitaji mengine yote ya kibinaadamu ikiwemo heshima, love and dignity and can make mistakes just like any other human beings. Hivyo huyu Samia ambaye she is only a human, unaweza kumpenda au usimpende, unaweza usimkubali, unaweza kumbeza, unaweza kumtukana na kumdhalilisha au kusema chochote kumhusu mtu anayeitwa Samia Suluhu Hassan na hakuna tatizo!. Mfano mzuri wa hili ni huyu mtu niliyemzungumzia hapa Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? bandiko kama hili liliwezekana kupandishwa kwasababu she is just a human na enzi hizo alikuwa na single personality, sasa with dual personality bandiko kama hili haliwezi kupanda.
Personality ya pili ya Rais Samia, ni rais wa nchi, hivyo huyu binadamu anaitwa Samia Suluhu Hassan, baada ya kuwa ni rais wa nchi, assume kitu kinachoitwa presidential personality, huyu sasa sio mtu binadamu, ni mtu taasisi yenye mamlaka ya juu kabisa ndani ya JMT, hivyo rais wa nchi kwa personality yake ya urais, ni lazima aheshimiwe, utii kwa mamlaka, huwezi kumtukana, huwezi kumdhalilisha, itakuwa ni kuitukana taasisi ya urais.
Rais Samia kama taasisi ya urais, huhitaji kumpenda lakini ni lazima kumheshimu. Rais Samia kama taasisi ya urais, she is not human, hawezi kufanya makosa ndio maana hawezi kushitakiwa!.
Wito kama huu niliwahi kuutoa enzi za utawala wa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim! na wakati wa Magufuli pia nilishauri Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli
Hivyo sasa tuko na Samia, tunaweza tusimpende lakini lazima tumuheshimu na ukitokea ukosoaji, tumkosoe kwa lugha ya staha na sio kumtukana na kumdhalilisha.
Niliwahi kushauri humu kuwa Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda unaweza usimpende lakini ni lazima kumheshimu.
Hitimisho
Rais Samia ni rais wetu, tumpende, tumheshimu, tumsuport, na hata ikitokea, kuna sehemu anakosea tumkosoe kwa heshima na staha.
Kwa sisi wengine ambao tunamkubali Samia kama Mama, mzazi wako, hata akukosee vipi, kamwe huwezi kumtukana!. Samia ni Mama wa Taifa, tumheshimu, namalizia kwa msisitizo huu
Heshima Kitu cha Bure, Rais Samia, ni lazima aheshimiwe na wote, akosolewe kwa staha na asitukanwe!.
Paskali
Wenyewe wakijiheshimu kwa kutokufanya maamuzi yenye utata mfano kuingia mikataba yenye utata wataheshimiwa tu bila hivyo hata mawe yataongea.Wanabodi,