Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!

Duh ...!. Sikubahatika kuusikia hii, ukiweza kutupatia links, tutashukuru, ila kama ni kweli, hizi sio lugha za kistaarabu na
P.
Naitafuta link ya matusi ya Mdude akiwa kwenye mkutano wa CHADEMA mwezi June 2021 barracuda Tabata. Nitaileta
 
Kujiita Dr ni ushamba kama hujasomea, na huo ushamba ulianza na Mhe Jakaya, watu wa Pwani wanapenda sana misifa, kusifiwa ni jehanamu jiandaeni wahindi wafurahia tanzanite, korosho, na madawa ya kulevya mjipange vema
 
Jf the home of GT [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Kaka wengine tuwasamehe tu, nchi yetu kubwa hii, tunatoka maeneo tofauti, tamaduni tofauti na makuzi tofauti, usione suti barabarani, mwengine matusi kwake hayachagui mahala au mtu, anatukana tu, mkubwa mdogo , kike kiume, mzanzi, mpita njia mtandaoni nk!
 
Nchi inaongozwa na watu wajinga na wapumbavu wenye elimu za kuungaunga ...toka lini mla urojo akawa kiongozi, upumbavu huu huyu ambae kapata zali
Heshima kitu cha bure!.
P
 
Mkuu Kinje, Kinjekitile Jr, heshima ni kitu cha bure!, jina la Bi Kidude sio jina la heshima stahiki kwa mlengwa wetu. Mimi na huyu mlengwa ni watu wa 60s, hivyo kwa wote mliozaliwa from 1975, huyu anaweza kuwa ni mama wa kukuzaa!, mama yako unaweza kumuita Bi Kidude?. Usipo mheshimu kama binadamu, kila binadamu anastahili heshima, then mheshimu kama Mama!.
P
 
Bi Kidude!!! Lina maana gani mbaya?? Magu aliitwa Jiwe kwani lilikuwa jina lake halisi?? Halafu hilo jina Lina vina saba na yeye kwani humjui yule Bibi Kidude(Marehemu kwa sasa) aliyekuwa nguli wa muziki hapa nchini alitokea huko kizimkazi kwao na huyo malkia wenu???

Hii nchi yetu sote
 
Wanawake hawapaswi kuheshimiwa.
Tunasema tu,"Jihadhari na wanawake. "
Mkuu Poppy Hatonn , heshima kitu cha bure. Tena mimi nilikuwa MC kwenye harusi ya mdogo wako aliyeolewa na kina Mwaki..., sikumbuki kukuona pale Azania Front!, wala Luther House kwenye reception!.
P
 
Kwa hiyo kama hukumbuki kuniona?
We unazidisha uchawa.
Jana mafuriko yametokea Dubai. Dubai imelowa chapachapa.
Naambiwa ferry imezama Bahamas muda huu. Watu wanatutania,wanasema hiyo ferry tuiite "Zanzibar Pemba Blue Lagoon."
Kwa jinsi ilivyo sasa hatujui kama kuna El Nino au kama kuna mtu anamshinikiza rais Samia kujiuzulu.
Tuseme tu sisi tuna jukumu la kuwalinda raia wasipate matatizo kutokana na ugomvi usiowahusu.
Wataalamu wanaulizwa wanaulizwa kuhusu Hanang,wanasema bila Shaka ni volcano. Lakini kama ni volcano kwa mini hatukuona inaanza kwa kufuka moshi?
Halafu kumbuka pia Makamu was Rais ametoweka.
Rais Samia ameinuka ghafla ameondoka kwenye mkutano Dubai.
In the past seven days we have been derailed.
Who is doing this to us?
Hawajui kwamba sisi ni nchi huru?
Na,in fact,leo ndio siku yetu ya Uhuru.
 
- https://www.jamiiforums.com/threads...su-chastity-of-a-woman-ni-kosa-kubwa.2204160/
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…