Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
Dhahabu kwenye shamba lako mali ya jamhuri ila bangi za kwako. Hii theory wanai apply kila sehemu.As much as I agree na wewe ila ungeanza kuwakumbusha kwanza hao kufanya wajibu wao. Comparison ya Mzazi na Rais doesn't hold water.
Mzazi sikumchagua. Rais anachaguliwa.
Mzazi hanilipishi kodi. Rais na serikali yake wanakula kodi zetu bila kutimiza wajibu wao.
Afu sifa zote mnampa rais ila lawama mna deflect. You seem to have selective competence.
Sifa njema, mama kaupiga mwingi. Vikivurundwa basi 'mama' hausiki.