HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

Nitashangaa kama wewe sio mchawi maana una vigezo vyote.
 
Kweli nimeamini Mungu ana sababu katika kila jambo. Sikuwahi kupata mkopo na wala sikuwahi kuwa na nyege nao kabisa japo wanangu waliomba omba wakanyimwa wengine. Asante Mungu maana kwa hali niliyonayo sasa ni gefedheeka.
Binafsi nashukuru sana unaa na umbea wa waziri wa mikopo maana nilikuwa under MOF afu nina vigezo vya Helsb,ile nataka kuvuta meals,accomodation na stationary tola Helsb pia jamaa likatuchoma tukakosa.

Ningekuwa nalialia muda huu dah,asante sana waziri mnoko kwa kuniokoa!!
 
iko iviii 🤣 🤣 🤣 ni wajibu wetu kulipa, imelegeza sana alafu inakuja kubana ghafla alafu watu wanaona kama wanaonewa
Wabongo si mmezoea mkikopa hela za watu huwa hamrudishagi matokeo yake mnamuona anayewadai adui au msumbufu😂😂😂!!!

HESLB imechukua sura mpya katika kukabiliana na wadaiwa sugu!
 
mnunulie balimi lite baridi
 
tuoneeni huruma watoto wetu mishahara itaishia huko BODI
Wasomi bwana! Kipindi mnasoma mkipewa mikopo mnatanuka kama The Rock...wakati wa kulipa madeni yenu umefika mnalialia humu Jukwaani eboo!
Ajira unayo, mshahara unapata kwanini usilipe ulichokopa ili na wengine nao wakopeshwe?
Hivi huu utamaduni wa kukimbia madeni hata nyie wasomi pia mnao?
Mnatia aibu kila kukicha mnalialia! Sasa mlikopa ili iweje kama hamtaki bugudha? Kwahiyo mlitaka mpewe mikopo iwasomeshe halafu mkimaliza kusoma muajiriwe halafu mikopo yenu msamehewe? Au mlitaka serikali ndio iwalipie?
Lipeni madeni acheni kupenda Kitonga nyie vipi!
Niwakumbushe tu kuwa "Mnatoa kile Mlichochukua"
HAKUNA CHA KUPEWA BURE DUNIANI.
Hata mzazi wako pia anakusaidia ila moyoni mwake ana imani utakuja kumsaidia hapo baadae.
 
Si utumie majina ya mtoto wako na account umfungulie yeye 😂😂😂 mwanao hawezi kukudhulumu.

Mkeo ukimfanyia hivyo atazidi kukupenda ila asiwe mhasibu tu kama wangu maana kila senti atataka kujua umetumia kufanya nini😂
 
Wabongo si mmezoea mkikopa hela za watu huwa hamrudishagi matokeo yake mnamuona anayewadai adui au msumbufu😂😂😂!!!

HESLB imechukua sura mpya katika kukabiliana na wadaiwa sugu!
na wapitie maombi yote ya mikopo benki, siku unapewa inakatwa juu kwa juu kwanza alafu ndo mengine yaendelee 🤣 🤣
 
Acheni uboya lipeni madeni hela si mlikua mnahonga mademu na kunywea bia....wenzenu tulipokosa mlikua mnatucheka sana pumbav
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…