Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
-
- #281
Yah walimu walikuwa wa vodafasta na walipewa mkopo 100% .Wanufaika weng walikuwa walimu. Tangu 2015 baada ya ajira zao kusua sua nao wameingia mtini. Patamu hapoy
Huwezi kutoboa kudadeki.Ahahahaha ukishindana na deni hutoboi
Mbona alichoandika jamaa ni speculation zake tu, sion factsHii ishu nlijua tu lazma wailete. yan tangu nafatilia ktambulisho ch nida nlikua nahisi kabisa hii ishu itakuja laziiima
na hatmae imetimia.
Tena we muhuni stroke c ndio mpiga debe maarufu humu wa jiwe kaa kimya kabisa lofa we.Sasa mfano mtu hajaajiriwa hiyo laki moja anatoa wapi?? Hiki kiwango sidhani kama kinalipika kwa mtu ambaye hana ajira, mfano kuna mtu baada ya kuhitimu kakaa more than 3 years hana ajira atalipaje??
Na jambo jingine hapa naona kama vile mawakili wamekuwa victimized tu sio kweli kwamba kila wakili anapesa, kuwadai loan board payments wakati wa kurenew certificates huo ni ukandamizaji uliopitiliza.
Wakati mwingine tusitumie mamlaka yetu kuonea wengine simply because we are in better positions than them.
Uliipenda mwenyewe nga ngaMakato ya asilimia 15 yalikuwa kwenye mkataba upi??
Huwezi kusafiri,wala kufungua biashara,,labda tini iwe ya mkeo alieishia la saba,,napita tu ila wametisha mkopo mpaka passport, tin number n.k inamaana wakiiamua kuku block uwezi kusafiri wala kufanya muamala benki mpaka ulipe chao...?
Mkuu Kama sikosei wewe uliunga mkono juhudi au nachanganyaHuwezi kusafiri,wala kufungua biashara,,labda tini iwe ya mkeo alieishia la saba,,
Elimu kwasasa imekua mzigo mzito..
Mpaka sasa naunga mkono,🤗🤗,sisi ma LY si mnatuona hopeless,,wakati nyinyi mnatafuta degree za mkopo,sie tuko busy kusaka faranga,halafu tuwape job ili mlipe deniMkuu
Mkuu Kama sikosei wewe uliunga mkono juhudi au nachanganya
kwelili watapata tabu sanaHuwezi kusafiri,wala kufungua biashara,,labda tini iwe ya mkeo alieishia la saba,,
Elimu kwasasa imekua mzigo mzito..
Mkuu mbona unalalama sana?? Ulivyokopa hiyo retention fee hukuiona??Tutakimbizana nao. Mpaka waanza kutu sachi mifukoni na majumbani.
Haiwezekani ulipe deni halafu mwisho wa mwaka ile retention fee 6% inaliongeza zaidi ya ilivyokuwa.
Maana yake serikali imefanya makusudi kuwafanya wananchi wake wawe vitega uchumi vya kudumu kuwa kuwapiga na deni ambalo kila ukilipa haliishi na linaongezeka.
Meko ni mpumbavu na no shetani.
Kitendo cha kulazimisha kila mtu awe register kwenye sim card na tin number yaani ni mambo ya kimkakati.
Na sasa hivi hata mabasi huweZi kukata tiketi lazima ziwe za elevtronics na heslib wana mpango wa kuunganisha tin namba za wafanyakazi, bank,NIN.
So hakuna kochomoka hapo. No escape lazima wote kulipa.
Kikubwa ni bunge litakavyompitosha jamaa awe wa maisha kwa sababu na wao wana uhakika watakuwa wa maisha
Ya Chato tusahau, tujipange namna ya kusaidia ambao hawana ajira rasmi za serikali kulipa hii deni.Huwezi kutoboa kudadeki.
Pesa yenyewe inaenda kujenga chato
Unamuua kabisa huyu mtafuta kazi, dah haki ya nani maskini ni maskini tu.Mkuu mbona unalalama sana?? Ulivyokopa hiyo retention fee hukuiona??
speculations, okay endelea kukikalisha hapo , utaelewa tuMbona alichoandika jamaa ni speculation zake tu, sion facts