Ukishuka ongea na mtu wa bajaji akupeleke lodge iliyopo Jirani siyo hotel.Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.
Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.
Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).
Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.
Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.π
Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.

Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.[emoji120]
guest nenda MNAZI MMOJA, siku ya kwanza ukishuka chukua Bda hadi pale watakuchaji 3k sababu watakubeba ndani ya stend , akikifikisha chukua namba yake kesho mwambie akupeleke mwendokasi stand upande za gerezani nadhan ni 1250 sina uhakika lakini boda itakuwa buku tu , ni pakutembea sema wewe panda boda uchore mazingira, hayo mengine hiace sijui hayapo , pia kuuliza uliza sio jambo jema at least nenda kwa maduka au sehemi za chukula zugazuga na maswali at least utakuwa salama ukijichanganya utapigwaJamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.
Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.
Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).
Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.
Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.π
Kama ntakua nimekuelewa vizuri utakua unazungumzia transporter hapaπ€π€kwa njombe ipo transporter inaitwa njombe transporter ulizia mataa ya kamata, fuata bara bara inayoelekea uwanja wa ndege tembea kama viwanja viwili vya mpira kulia kwako utaona geti jeusi imeandikwa Super feo zama humoBaada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.
Ajui kuwa siku hizi Kuna bolt π€£π€£π€£π€£Dah! Unaonekana una muda mrefu sana hujafika Dar! Maana bado unaongelea habari za kupanda Hiace?
Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.
Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.
Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).
Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.
Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.π
Inabidi mumshauri pia afungue App ya hiyo Bolt kwenye simu yake ili imrahisishie mizunguko yake. Na uzuri ataamua mwenyewe achukue Bolt ya bodaboda, bajaj, au gari.Ajui kuwa siku hizi Kuna bolt π€£π€£π€£π€£
Nipe tenda nikupokee, ulale, kesho yake nikuzungushe, ufunge mzigo, kisha nikusindikize, uko tayari?Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.
Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.
Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).
Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.
Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.π
Download bolt.Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.
Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.
Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).
Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.
Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.[emoji120]
Wewe ni jinsi Gani...?Nipe tenda nikupokee, ulale, kesho yake nikuzungushe, ufunge mzigo, kisha nikusindikize, uko tayari?
Kiume, unaogopa?Wewe ni jinsi Gani...?