Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Kuwa makini sana na kuwaamini watu humu ndani ya jukwaa, usizani wote wema,utapigwa mapema kabla hata hujafika, ukitegemea unatokea njombe
Cha kukushauli mbona huko kwenu njombe kuna watu wengi tu wanaokuja dar, umeshindwa kuwauliza? Ukishindwa sana muulize konda ndani ya basi akutafutie kijana pale magufuri stend atakayekusaidia kukutafutia guest mpaka kukupeleka k/koo, maana huyo lazima atakuwa mtu wa njombe kama wewe, huku Dar hata polisi wezi kuwa makini