4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
Mtu kuja huku kuomba ushaur maana yake kashajipanga tyr , hkn kijiji Tz kinawashamba wa uzaniavyo , watu walishaamka , jichanganye utapeliwe wwKuwa makini sana na kuwaamini watu humu ndani ya jukwaa, usizani wote wema,utapigwa mapema kabla hata hujafika, ukitegemea unatokea njombe
Cha kukushauli mbona huko kwenu njombe kuna watu wengi tu wanaokuja dar, umeshindwa kuwauliza? Ukishindwa sana muulize konda ndani ya basi akutafutie kijana pale magufuri stend atakayekusaidia kukutafutia guest mpaka kukupeleka k/koo, maana huyo lazima atakuwa mtu wa njombe kama wewe, huku Dar hata polisi wezi kuwa makini