Hey naombeni ramani ya kufika maeneo haya nakuja Dar Jumatatu

Hey naombeni ramani ya kufika maeneo haya nakuja Dar Jumatatu

Kuwa makini mzee, ukifanya masihara wajuba watasepa na kibunda hicho. Tafuta mtu mnae juana akuzungushe mjini.
 
Jamani nawaashukuruni sana mliotoa hoja zenu za maaana na wale wa hoja za kunitish kuibw had nikwa ntak kuahrsh, all in all nimemliza yaliyo nileta kesho nirudi ulaya(njomb) mana joto huku n tatzo kwel kwel ( fm lodge big up)
 
Unaambiwa usije dar we unakuja nasema utapigwa tu hamna namna nyingine
 
Unaambiwa usije dar we unakuja nasema utapigwa tu hamna namna nyingine
Endelea kuwa na Imani kama hizo .Kwa upande wangu nishmliz manunuzi mzigo ushtumwa, kesho 17.8.2023 narud njomb
 
Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.

Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.

Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).

Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.

Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.🙏
Baba ww nishaona utaibiwa
 
Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.

Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.

Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).

Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.

Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.[emoji120]
Ukifika hapo stendi ya Magu muombe boda boda akuoneshe guest iko pembezoni na hiyo stendi inaitwa Ganafa lodge gharama ni elfu kumi tu .

Asubuhi ukiamka utaona stendi ya magu na pia kwa mbali stendi ya daladala ya Mbezi basi jongea mpka karibu na magari yaendayo mjini utaona sehemu wanakatisha tiketi hawa ni wale wa mwendokasi hivyo kata tiketi hapo hiyo sehemu inaitwa kibanda cha mkaa .

Kata tiketi ya mwendokasi maana utawahi kufika kariakoo ukimaliza mizunguko ndugu mfanya biashara panda sasa gari za kawaida kurudi Mbezi hapo shuka stendi alafu muombe yeyote akuoneshe zilipo gari za IT hapo utapata usafiri wa kusafirisha bidhaa zako .

Mpaka hapo nahisi utakuwa umemaliza ila nikukumbushe kuwa makini maana dar ni chuo hivyo kila mtu yupo kimasilahi.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Unaongelea hiace dar unafanya watu wakuchoree ramani , mtu atakuja PM kujifanya anajua kila sehemu dar ni ndogo kwa eneo ila ni kubwa kimatukio , ahsante
 
Back
Top Bottom