Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Ntafute Pm nikusaidie.Nipo Njombe Mji mwema mtaa wa Mtazamo.Ntakupa kijana AkusaidieJamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.
Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.
Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).
Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.
Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.🙏
Una maana asipoibwa.Ataibiwa vipi apelekwe wapi?Sijui, usipoibiwa wewe niite Mamndenyi !
Hahahaha umefafanua vyemaUkishuka ongea na mtu wa bajaji akupeleke lodge iliyopo Jirani siyo hotel.
Hapohapo Mbezi Louis kuna route za mwendokasi zinaanzia kwenye terminal ya Mbezi Louis uliza line ya mwendokasi Kata ticket za kariakoo shuka Msimbazi karibu na klabu ya Simba tayari upo kariakoo.
Kama ndio Mara ya kwanza kuja Dar ni bora umlipe mtu pesa kidogo akuzungushe kariakoo uwokowe muda na pesa zako ufunge mzigo Urudi zako mapema.
Je unakwenda kariakoo kufunga mzigo gani?
Huyu atakuwa kaja kununua nguo tu na sandlesUkishuka ongea na mtu wa bajaji akupeleke lodge iliyopo Jirani siyo hotel.
Hapohapo Mbezi Louis kuna route za mwendokasi zinaanzia kwenye terminal ya Mbezi Louis uliza line ya mwendokasi Kata ticket za kariakoo shuka Msimbazi karibu na klabu ya Simba tayari upo kariakoo.
Kama ndio Mara ya kwanza kuja Dar ni bora umlipe mtu pesa kidogo akuzungushe kariakoo uwokowe muda na pesa zako ufunge mzigo Urudi zako mapema.
Je unakwenda kariakoo kufunga mzigo gani?
Hii nondo watu wengi wametumia wageni wa jiji.Usijichanganye kuomba maelekezo toka kwa watu...utapigwa ushangae,wenyeji wa Dar bado wanaibiwa...tafuta kijana wa huko Njombe anayeifahamu Dar na kariakoo vzr...mlipe safiri nae asubuhi amkieni K/koo funga mzigo mrudi Njombe...ukifanya hivyo mara 2 tatu utapata uzoefu,...kinyume na hapo,utapotea pale pale k/koo...utampa mtu mzigo akubebee huyo mtu atayeyuka kama mwewe...fanyia kazi huu ushauri ili uwe salama.
Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.
Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.
Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara).
Baada ya hapo kuna sehem nasikia ni special Kuna ofisi za usafirishaji wa mizigo mikoani naombeni mnielekeze pia nipand dldala zipi( kama zipo) kutok Kariakoo Hadi nifike kweny ofisi hizo.
Nitawashukuru sana Kwa miongoz mtakayonipa.🙏
Huyo mtu ndio atakae muibia SasaTafuta MTU akupeleke Huko Kariakoo ukanunue vitu, kisha umlipe walau 30,000/= kama hautaki usumbufu na hatari za kuibiwa au kutapeliwa.
Hii ni kama ni mara yako ya Kwanza.
Watu wema wapo sanaaa tuu & vice versa is true1. Tumia akili yako vizuri sana.
2. Angalia usije geuzwa fursa.
Tafuta Guest maeneo hayo hayo ya Stand/kimara, mapema tafuta mwendo kasi.
Huna haja ya maelekezo, ukitumia akili vizuri kuuliza na kukwepa kugeuzwa fursa utagundua hupaswi uliza huku jamii forum.
Yaan ukiwa kariakoo Alone for the first time ever in your life it's challenging a lot mzeeya........Sasa huko Kariakoo si ndio utapotea au ku8ngizwa mjini na wazee wa jiji?
Mnahis kila mtu ni bilionea?Inabidi mumshauri pia afungue App ya hiyo Bolt kwenye simu yake ili imrahisishie mizunguko yake. Na uzuri ataamua mwenyewe achukue Bolt ya bodaboda, bajaj, au gari.
Kula tunda kimasiara ilianzaga hv [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni jinsi Gani...?