Unaongelea hiace dar unafanya watu wakuchoree ramani , mtu atakuja PM kujifanya anajua kila sehemu dar ni ndogo kwa eneo ila ni kubwa kimatukio , ahsante
Ahsante Kwa ushaur pm wamkuj lakin hata kidogo sijihusish na mmoja wao Kwa kusema eti nimfate ila nawaskilz tuu then nachmbua. Kuna mdada mmoj kaniongz ila mipak nilkwa nazingatia