Hezbollah ilisubiriwa kuingia kwenye vita, kiongozi wao kabwatuka mikwara kisha kaenda kulala zake


Unajua hapo Israel kuna waislam wanaoipiga Hamas?
Hiyo ni vita baina ya Israel na Palestina.
Na kama ingekuwa dini basi ingekuwa Wayahudi Vs Waislamu.
Sasa kwa nini mnawaingiza Wakristo ambao hawahusiki katika vita vyenu.

Au mmezoea kuwachezea Wakristo na kwa vile wakristo imani yao inawataka kuwasamehe mpaka mashetani, na machizi ndio mnataka kuhamisha hasira zenu kwao.

Wayahudi kanuni zao mnazijua. Hawacheki na kima, na mkileta uchizi wanawaonyesha kuwa wao ni machizi mara elfu kuwashinda.

Watibeli sisi tunawaona ninyi mnaodhulumiwa ni Wapuuzi kwa sababu hamna akili. Mngekuwa na akili wala msingekuwa mnafanyiwa hayo
 
Mkuu mbona unachukilia mambo kirahisi sana 😀😀😀😀hao Hizbulah karibia kila siku wana pambana na wanajeshi wa Israel mpakani tangu hamas ifanye shambulizi na pande zote zimepoteza wapiganaji.
Alafu kingine unacho takiwa kujua hawa Hizbulah walisha pigana vita na Israel mwaka 2006na wakaifurusha Israel kwenye ardhi ya Lebanon aliyo kuwa ameiteka kutoka kwa jeshi la Lebanon kwa hiyo usiwachukie poa.

Achana na Hizbulah Israel haitaweza hata kuiondoa gaza hii hamas ambao yupo anapambana nayo sasa hivi.
 

Unajua kwa nini Mpaka sasa Israel ipo hapo ilipo?
Unajua mwaka 1948 Israel ilikuwa inamiliki kiasi gani cha ardhi hapo Palestina?
Mpaka sasa hivi kati ya Israel na Palestina nani anamiliki eneo kubwa hapo Palestina?

Kama Hezibola na hao Hamas na waarabu kwa ujumla na Iran wangekuwa na nguvu ya aina yoyote ile hata hiyo ya kimungu basi Israel wasingekuwa hapo walipo.
Lakini kwa sababu hawana nguvu yoyote ndio maana unasikia kuwa Israel inanyanyasa Waarabu hapo Palestina n mashariki ya kati.

Huwezi mnyanyasa mtu aliyekuzidi nguvu.
Tatizo haya mambo mnayachukulia kishabiki.
 
Aiseeeeee, naona hasira za mama yako kufukuzwa na kubomolewa sehemu yake anapofanyia biashara na DC wa Kinondoni unanihamishia mimi. We nilishakupuuza, ngoja nikuweke kwenye ignore list.
Na mwaka huu mtakufa njaa maana charamila kaja kuharibu sehemu ya mama yako kupata buku 2 ya kukulisha ww na wadogo zako.

Cha kukusaidia njoo nyumbani nina ka single kamoja mje mjiifadhi na ugali mtapata ila sharti ww uwe mke wangu mdogo.
 
Tatizo nyie wakristo mnajidai ni watu wa imani, kwanza imani ipi mnayo, ikiwa Mungu aliye umba mbingu na ardhi na kila kitu mnamfananisha na binadamu.

Aliye leta balaa hapo Palestine ni nani kama si mkristo aliye waleta waisrael hapo, wao walisha wachoka wakaona waje watupandikizie taifa teule la Paulo 😄

Eti sisi wakristo hebu toa tamko wapi ukristo ni dini, mnabudu picture la mzungu kila kanisani eti Yesu, kwani Yesu aliwambia yeye Mungu.

Afu bibilia inawambia aliye tundikwa kwenye msalaba ana lana, nyie ndio kwanza mnaukumbatia, wako wanaushikilia, wako wanauvaa, wako wanaupa mgongo. Wako wanauweka mbele hamfahamiki kabisa.

Mara Alpha omega mara sijui mtoto wa bikira Mariam sa nani alikuja mwanzo Yesu au mama yake nikiwambia nyie vichaa mnabisha.
 
Mkuu hakuna sehemu niliyo sema Israel haina nguvu, Israel ina nguvu tu za kawaida kama nchi nyingine nyingi tu na sio kama mnavyo tuaminisha.

Nilicho pinga ni hoja yako ya kusema eti Israel inaweza kuipiga Hizbulah na kufukuza Lebanon yaani umeongea jambo hilo kana kwamba utekelezaji wake ni rahisi sana.

Israel iliteka ardhi kubwa mwaka 1967 baada ya kuzipiga pigo la kushutukiza nchi tatu za kiarabu yaani misri ,Jordan na Syiria ,mwaka 1972 misri ikaanzisha vita kulirudisha eneo lake la sinai na ikafanikiwa kulirudisha, miaka ya 80 Israel ikaivamia Lebanon na kuliteka eneo lake Israel ikaja kutemeshwa hilo eneo na Hizbulah.

Alafu mbona huwa mnarazimisha matatizo ya wapalestina yawe ya waarabu wote?
Kwani nyinyi ndani ya bara lenu la Africa kuna nchi ngapi zenye vita na mateso mbona hamjawahi kuyachukulia matatizo ya waafirika wenzenu kwenye nchi hizo kuwa ni ya waafirika wote,ila iwe kwa waarabu?

Hapo wanao nyanyaswa na kunyanganywa ardhi yao ni wapalestina na sio waarabu wote suala la kuwa saidia ni uwamuzi wa nchi hisika tu na sio razima kwa kigezo cha uarabu.
 
Kimsboy alikuwa very excited akawa anatupa update za masaa, lakini hotuba ikaishia kuwa great disappoinment.
 
Sasa ww hata ukiwaonea huruma utabadilisha nini ?
Ww endelea kutapika mavi tu hapa jf tu
Jionee huruma mwenyewe usiye jua utakula nn jioni wapalestina hawahitaji huruma yako.
Zile freee palestina na kulia lia kote mnajitoa ufahamu😆😆😆😆. Ni hivi hata mim ukinichokoza ni jino kwa jino hakuna kumuacha gaidi kizembe. Nimekuvuruga naona. Israel fanya kweli wapalestina wa buza huku washaanza kusanda
 
Ulicho kiandika hapa ndicho watu tulikua tunakisemea kuwa sisi hatuiombei palestina wala muarabu yeyote kwa maana ni aibu muislam anasifia hamas kuua watu wa israel afu kenya, somalia, sudan congo nk walilipuliwa mkaufyata. Nyie na dini yenu mnaunafiki mwingi saana. Na ugomvi mnauanza nyie kwanza wabinafsi saana.
 
Ha Zile freee palestina na kulia lia kote mnajitoa ufahamu😆😆😆😆. Ni hivi hata mim ukinichokoza ni jino kwa jino hakuna kumuacha gaidi kizembe. Nimekuvuruga naona. Israel fanya kweli wapalestina wa huku washaanza kusanda
Mbowe na wafuasi wake akiwemo ww ndo magaidi na mahakama ilisha lidhibitisha hilo.

Sasa kama mnatoa kichapo mbona mpaka sasa hivi mmeshindwa kurudisha mateka nyumbani mpaka mmeanza kuwaomba hao magaidi msaada wa kuwapata mateka wenu 😀😀😀😀😀
 

Kwa nini unakataa kuwa Israel haiwezi kuipiga Hezibola na kuifurusha Lebanon na Wakati huohuo hiyo Israel imewafukuza Wapalestina kwenye Ardhi yao kwa miaka zaidi ya 73?
Kwamba Lebanon inanguvu kuliko Palestina? Ndicho unajaribu kueleza?
 

Kwa hiyo hii mada inahusu kile ulichoandika?
Ninyi adui zenu ni Wayahudi sasa sijajua kwa nini mnawaingiza Wakristo.

Kama mayahudi hamuwawezi Wakristo ndio mtawaweza?

Kwa nini vita hii unaingiza Udini?
Ilhali hata mkitumia huo Udini bado vita inawashinda.
 
Mbona hata Netanyau kahama nyumbani kwake kaenda kwenye nyumba ya rafiki yake yenye mahandaki anacho ogopa ni nn?
 
Umekurupuka huaelewa point yangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dah! Yani unaongea kama vile upo WH na hizo Ikulu zote za Nchi ulizozitaja.Wewe ni mtu hatari sana kujua Intel info za Nchi zote hizo kuhusu hii vita.Mkuu kubali tu kile mlichokitegemea jana kutoka kwa kiongozi wa Hizbollah hakikuwa,hizi nyingine unatueleza ni blah blah tu.
 
Kwa nini unakataa kuwa Israel haiwezi kuipiga Hezibola na kuifurusha Lebanon kampala Wakati huohuo hiyo Israel imewafukuza Wapalestina kwenye Ardhi yao kwa miaka zaidi ya 73?
Kwamba Lebanon inanguvu kuliko Palestina? Ndicho unajaribu kueleza
Tz ili pigana vita na Uganda mwaka 1979 na tukaishinda na mpaka Ikaiteka kampala iwapo Nyerere angetaka kuichukua uganda wenda sasa hivi ingekuwa ni ardhi ya Tz lakini ushindi huo haumaanishi ya kuwa sasa hivi tunaweza kuivamia uganda na kufanya kile tulicho fanya mwaka 1979.

Israel ilitumia siku 6 kushinda vita dhidi ya nchi tatu , lakini leo hii ana mwezi anapambana na kundi la wanamgambo wasio zidi 30000 nka wenye silaha duni lakini hakuna hata dalili ya kulishinda.

Mkuu vita ni kitu rahisi kwenye kukiongea lakini mambo ni tofauti kabisa unapo kuwa ground.
 

Tofauti vita ya nchi na nchi.
Na vita ya kupambana na magaidi yanayojifichia kwenye makazi ya Watu. Ni mambo mawili tofauti na ambayo ni mbali mno.

Nimekuambia Wapalestina na wàshirika wao hawana uwezo wowote na mbinu yoyote ikiwemo kutumia miungu yao ili wawashinde Wazungu.

Wangekuwa na namna yoyote ya kushinda Waisraeli wasingekuwa hapo walipo.

Ni kujifariji kwa Watu wajinga kama unavyofanya wewe.
Lebanon, Iran, Yemen na hao Palestina ni Watu walioshindwa tangu 1947 kwa sasa wanatapatapa tuu. Ili maeneo mengine yasibebwe.
 
Hahaha
Namna unavyoripoti aisee hata wanaopigwa wakisoma.hapa watalala wanacheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…