Hezbollah wanapigana kwa maslahi ya Nani? Mbona wanawaumiza raia wa Lebanon

Sehemu iliyoshambuliwa ni ya raia sio maghala ya silaha ya Hizbollah.
Hizbollah silaha zao huzificha chini ya tunnels.
Ndio huko huko mnakofichaga silaha kwenye makaz ya watu kwan nan hajui..si gaza mlikua mnaficha mpaka chini ya mahospitali na kwenye shule za watoto
 
Nimeangalia kwenye mtandao x wa mossad daah!! Israel anashambulia kwa nguvu kubwa maghala ya silaha ya hezbollah na maeneo mbalimbali yaani ni moto wa kutisha kiukweli lebanon itageuka kama gaza
kuripuka kwa zile pager na walkie-talkie ilikiwa ni kuwapelekea ujumbe kwamba wameshakusanya taarifa za kutosha kupitia viifaa hivyo
 
Ndio huko huko mnakofichaga silaha kwenye makaz ya watu kwan nan hajui..si gaza mlikua mnaficha mpaka chini ya mahospitali na kwenye shule za watoto
Kama hujui kitu kaa kimya.
Hayo mahandaki yapo mpakani na Israel katika milima ambako hakuna makazi ya watu.
Kuhusu Gaza Israel alipeleka video ICJ ikakaguliwa na kugundulika ni staged videos.
Ndio chanzo cha wazungu wengine kumgeuka kina Spain,Belgium na wengine.
Hamjui mnaropoka tu.
 
Sasa hapa umeandika nini?
 
72 virgins.
 
Kwa maslahi ya iran
 
Kipigo kikianza Hezbollah hawatomsikiliza Biden.
Israel silaha anayotumia ni kushambulia makazi ya raia kuishinikiza Hezbollah aache kuanzisha vita kwa uoga wa kuogopa kushambuliwa.
Hizbullah watafute dawa ya hizo ndege, ndiyo silaha pekee anayotegemea israel
 
Usiseme Hizbollah sema raia wa Lebanon.
Msipotoshe habari,kama hamjui kheri mnyamaze.
Mkuu na wewe umekuwa Aljazeera wa Hezbollah.. maana Gaza Hamas wakifa wanageuka raia wema wakiwa maiti... hahaha hadi leo Aljzeera hawajawahi ona Hamas wakifa.... Sasa na Lebanon kwani nao wameenza kujiita Raia? kumbuka Lebanon ni Chriatian Country na asili yao sio waarabu.. Arab ni wavamizi hadi wameguza jina wanajiita Arab country Lebanon wakati sio... Christian wamekasirika how come Hezbollah wanaanzisha state ndani ya state and wanajiamulia kuanzisha Vita tu wenyewe.. and wana jeshi kubwa na silah kuliko Jeshi la serikali.. viti vya ubunge wamechukua kibabe.. Kumbuka Chadema walitaka kuanzisha jeshi lao wakapingwa na kila mtu Red guard ndio matokeo ya Hezbollah kukua na jeshi lao kukua..

Majuzi Iran wamesema wanaiwakilisha Lebanon UN wakati lebaon wana muwakilishi wao ni dharau kubwa inaonesha Irani ndio inataka iwe jimbo lake it matter of time tu watawafurusha christian na Sunni lebanon yote.. kwani washawaambia kuwa Christian wamebaki wachache kama vipi waanze kuondoka wakati muda upo maana watakuja kosa hata boti kwani njia itabakia baharini tu.. see mashetani hayo yanavyopanga mioyoni mwao..

Thanks to Isrel watawasaidia..

Lebanon wengi wanahitaji uhusiano na Israel
 
Utetezi wa kipuuzi hizi akili za kobazi zimejaa ubishi na ulalamishi
 
Kipigo kikianza Hezbollah hawatomsikiliza Biden.
Israel silaha anayotumia ni kushambulia makazi ya raia kuishinikiza Hezbollah aache kuanzisha vita kwa uoga wa kuogopa kushambuliwa.
Kobazi mnajitahidi kuandika raia wanashambuliwa ili kuonyesha israel hawawashambuli hezbollah wako vizuri yaani raia wamekuwa kichaka chenu ya kulia na kutafuta visingizio vya kushindwa vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…