Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

Kwa hiyo tukuamini wewe uliye Tandale kwa Tumbo kuliko hivyo vyombo vya habari..!!
 
Hao magaidi wa Hezbollah wajiandae kutafuta hifadhi kwa wanawake na watoto maanake kinachokuja ni ngumu kumeza.
 
Habari zinachanganya sana.
Wengine wanasema 200 rockets fired Juzi tarehe 1 wengine wanasema 60 fired yesterday.
Tusubiri tu taarifa kamili.
 
Taarifa za mashambulizi ya sasa hivi ni hizi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…