Hezbollah yaanza kuishambulia Israel kwa roketi nzito za angani na ardhini, kulipa kisasi mauaji ya makamanda wake

Hii iron dome ya Israel kweli au msumbuji ...kama Hezbollah anawachapa atakavyo hiv Iran mtamueza kweli
 
Hezbollah na hamas wanasafisha njia alaf Iran anamaliza nyeti nyau na alies wake
 
Mbona hakuna jipya hayo yanayoendelea kati ya Hizbullah na IDF yapo Toka Oct 7
 
Naona Iron dome imezuia karibu asilimia 90 ya rocket za magaidi Hezbollah
 
Hii iron dome ya Israel kweli au msumbuji ...kama Hezbollah anawachapa atakavyo hiv Iran mtamueza kweli
Hezbollah wana Silaha kali sana. Watashinda vita hii
 

Attachments

  • IMG_9708.png
    1.2 MB · Views: 1
Hawa kazi yao ndogo tu, kama 'mtu' anafuatwa hadi ndani ya Iran na kula kipande cha nondo wapi hawa jamaa hawawezi kufika tena
Kinachosikitisha mauhaji haya yamefanywa kwenye moja wapo ya jengo lenye ulinzi mkali sana 🀣
 
Mohammed Al Dhaifu hatumjui sisi tunamjua Mohammed Deif.
We kondoo kweli jina lake ni Mohamed Al Masri au Al Dhaifu. Sababu ya kuitwa Al Dhaifu ni mgeni asiye baki ugenini. AL Dhaifu kwa kiarabu ni mgeni. We na wajinga wakristo mtaweza kutanka Al Dhaifu nyie ulimi wenu wa aleluya lazima mpindishe lugha, ulimi wenu umelainishwa na milenda mtaweza wapi kutamka majina ya kislam nyie.
 
Baba Yenu wa Iran bado anatafuta Ushaidi - Ili aanze Vita na Mtoa Roho (Israili) .Maana anajua litakalompata So Bado anatapa tapa kuanza Vita na Israili
We imba nyimbo tu nyimbo za Aleluya, America kisha changanyikiwa kajaribu kumsemesha Oman amsemeshe Iran asipige Israel. Iran kagoma hataki kabisa. Al Houth sa yeyote atajibu shambulio alilo piga Israel pale Al Houdaida inajulikana ni America na UK ndio walio piga sio Israel. Yemen alisha jipanga kulipa sio ajabu yeye akawahi kulipa kabla ya Iran. Hezbullah analipa huko moto unawaka Kyriat Shmona karibu 90% wakazi wamekimbia huko na hao 10% wako njiani haijawahi kutokea Israel hivyo tangu 1970 πŸ˜„

Nyie endeleni kupiga ngoma zenu za kujifurahisha eti Israel ni super power πŸ˜„
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • IMG_20240801_010243.jpg
    73.9 KB · Views: 2
Hahaha sasa media kazi yake ni nini kama unazuia ukweli, hivi wewe unadhani Hezbullah hapati signal alicho kipiga kakipiga au hajakipiga. Israel anacho ogopa ni aibu taifa lake liko uchi kabisa linatiwa vidole tu. Anaruhusu media zionyeshe missiles anazo zipiga mambo yake ni show off zinazo penya anazuia media kabisa kuchukua. Sehemu zile anapigwa vidole, anaficha watu wasione , mashoga noma sana hata mfiche vipi mnajulikana tu imedundwa πŸ˜„
 
Mkuu nimeona Jana wayahudi wanavyokimbia mwendo wa Ngiri mkia juuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaliliwa wewe

Hilo ndilo jambo tunalotaka kuhabarishwa; wamefanya uharibifu kiasi gani!?
Hiyo idadi ya makombora na umahiri wa Iron dume ni ngonjera tu!
IRON DOME NDIO HIZI ZINALIPULIWA NA HAMAS KILA SIKU πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • IMG_20240622_224124.jpg
    231 KB · Views: 1
Wababe hawa hapa_ Alafu kuna hawa Vibaraka wa Iran na Silaha za mwaka 1947🀣🀣
 

Attachments

  • IMG_9798.jpeg
    206.4 KB · Views: 1
  • IMG_9774.jpeg
    640.1 KB · Views: 1
  • IMG_9759.jpeg
    418.8 KB · Views: 1
  • IMG_9760.jpeg
    52.7 KB · Views: 1
  • IMG_9727.jpeg
    347.7 KB · Views: 1
  • IMG_9708.png
    1.2 MB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…