Hezbollah yathibitisha 'ushindi' dhidi ya Israel baada ya usitishwaji mapigano

Ni kweli mkuu. Watu cjui ni kwa nini wanaona ufahari kupotosha Taarifa.
Aidha hawajaisoma na kuielewa hiyo doc. ya Cease fire ila wanasema vya kwao jinsi wanavyojisikia. Hii sio sawa.
 
Hayo malengo ya kufeli hizbullah naungana na wewe ila hizbullah haija ondoka kusini ipo huko tokea kabla ya 2006 na itaendelea kua hivyo na ndio maana Jana wameripotiwa israhell kukiuka mkataba kwa kushambulia wanaodai hizbullah wanao jirundika huko mwisho paka alisema hataongea na hizbullah maana ni kujisalimisha kwao hatimae kaongea nao
 
Yaani wewe uijue hili halaf hizbullah wasilijue moja hizbullah tokea sisi faya ya 2006 waliambiwa wasikae huko ila wapo huko na wataendelea kuwepo mpaka israhell waondoke kwenye ardhi za Lebanon mbili hizbullah kabla ya makubaliano haya wanajulikana na kujitanabahisha hivyo kwamba wao sio jeshi la lebanon labda wewe ndio ulikua hujui
 
Hizi figa zako wewe wakati figa jumla ya sirikali ya Lebanon na vyombo huru haijavuka elf tatu wewe hao afu nne umewahesabu wapi
 
Israhell kama ingeweza kuwasaidia wazayuni basi wazayuni wasingeikimbia kaskazini ya israhell kama walivyo kimbia walebanon kusini ndivyo walivyokimbia Waisrahell kaskazini kama ilivyo pigwa Beirut imepigwa tel avivu
 
Kama Hezbollah ametia saini makubaliano ya cease fire hana budi kuondoka kama Israeli naye anavyoondoka. Inasikitisha mtu anatia saini i.e. anakubaliana na kilichoandikwa lakini hata hajui ni nini kilichoandikwa humo na ndicho amekubali kwa kutia saini yake.
Israel alikuwa sahihi kwani kwenye Mkataba imeandikwa IDF itaendelea na wajibu wake kuilinda Nchi/Taifa, Raia wa Israeli dhidi ya maadui, vitisho ikiwa ni pamoja na kuviondosha viashiria vya uvunjwaji wa Mkataba. Na hicho ndicho kiliwapata Hezbollah. Hawajui walisaini nini???? - wapowapo tuu.
 
Yaani wewe ujue ila wao wasijue suala la kuilinda mipaka ya Lebanon dhidi ya israhell sio la kuandikwa kwenye sisi faya ndio lengo la kuanzishwa kwa hamas ukae ukilijua hili sisi faya imesainiwa na pande zote mbili hivyo maana yake wote kuna sehemu wamefeli na ndio maana wakakaa mezani israhell angeendelea kuamini vita kama vita warejesha watu kaskazini mbona akakaa kwenye Meza ya mazungumzo wakati awali walikataa
 
Tumia akili ndogo tu
Kwanini hujasikia Israel ikiwaambia raia wake warudi nyumbani
Alifikia hatua ya kuhama nchi ujue kachakazwa 😃
Haya taja kiongozi mkubwa wa Israel aliyeuwawa
 
Israhell kama ingeweza kuwasaidia wazayuni basi wazayuni wasingeikimbia kaskazini ya israhell kama walivyo kimbia walebanon kusini ndivyo walivyokimbia Waisrahell kaskazini kama ilivyo pigwa Beirut imepigwa tel avivu
Waisrael waliondoka kwa utaratibu lakini ni kutokana na mashamulizi ya maroketi ya Hezbollah.
Walebanon kusini walikimbizwa kwa Amri ya kuondoka kama ilivyokuwa inatolewa na IDF.
Beirut ilipigwa kwa kusambaratisha majengo, kuwalenga viongozi wa Hezbollah, kulenga miundombinu ya kiraia na ya kijeshi ile yenye mahusiano makubwa na Hezbollah, Maghala ya kuhifadhi silaha ya Hezbollah .n.k. ie yalikuwa ni mashambulizi yenye sababu au Malengo.
Huko Tel Aviv, Hezbollah alikuwa anarusha makombora eti alimradi tu yakaangukie Tel Aviv. Hakuna lengo. Na mengi ya makombora hayo yalidhibitiwa.
 
Ni kweli
 
Ukinipiga umenionea ukiniacha umeniogopa, hizbolah wanaleta mambo ya enzi zile utotoni
Watapigwa kweli. Mbona jana tu walizibuliwa walipokuwa wanajirundika cju wanajipanga ilhali kwenye Mkataba hilo limekatazwa.
Ila inachekesha sana kuona Hezbollah alijitakia vita kwa kumsaidia HAMAS lakini HAMAS haikumsaidia Hezbollah hata kidogo ilimwacha akabondwa hadi ameomba poo. Ni "undugu" gani huo? Dah!
 
SAWA Sina muda wa mabishano kama wa kuelewa utaelewa mambo yapo wazi
 
Unajipinga. Uliposema wanaondoa majeshi yaliyongia Lebanon halafu tena Israel haijaingia hata Kijiji kimoja, hayo majeshi yanaondoka wapi ambapo unasema hawajaingia
 
Ok. Kwa hiyo inamaana Hezbollah bado kibri hakijawaisha? Kwa nini kutia saini makubaliano ambayo unajua fika kwamba hukubaliani na yale yaliyomo? Kwa hiyo Hezbollah anaonesha kwamba alichitaji ni kupata walau nafasi ya kupumua kutoka "Kukamatiwa chini" na IDF?
 
Hizi habari zihusuzo hizo pande mbili zimegubikwa na Ushabiki mwingi lakini Ukiisoma Hati ya makubaliano ya kusitisha vita ( sisi faya ) imebainishwa humo kwamba kusiweko na kujirundika/kujikusanya kijeshi Kaskazini mwa Israeli au Kusini mwa Lebanon. i.e. Eneo Mpakani mwa Israeli na Lebanoni.
 
Unajipinga. Uliposema wanaondoa majeshi yaliyongia Lebanon halafu tena Israel haijaingia hata Kijiji kimoja, hayo majeshi yanaondoka wapi ambapo unasema hawajaingia
mkuu waliingizwa kimtindo halafu wakabamizwa wengine mateka wengine wamekula shaba, ndio mana Israel wamechoshwa na madhila waliyokuwa wanapata wakaonoa waombe poo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…