MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Usijidanganye. HH anawapeleka moto balaa waliokuwa watesi wake. Anatumia taasisi ya kuzuia rushwa.Wala habagui wapinzani yeye kwake kila mtu ni muhimu sn
Kama walikula rushwa waachwe kisa ni wapinzani wake?Usijidanganye. HH anawapeleka moto balaa waliokuwa watesi wake. Anatumia taasisi ya kuzuia rushwa.
Sisi Mkapa alikiri kuiba pesa BOT tena kwenye kitabu chake lakini aliachwa sababu ya mfumo mbovuUsijidanganye. HH anawapeleka moto balaa waliokuwa watesi wake. Anatumia taasisi ya kuzuia rushwa.
Usimfananishe kbs Hichi na huyo, Hichi alitangaza hadharani kila mtu awe huru kukosoa chochote bila bugudha!!! Hapo zaman za kale sasa jaribu kukosoa 🤣🤣🤣 utajua hujui!!!Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.
View attachment 2220919
Wanaotamani marehemu aachwe kukosolewa na kulaaniwa kwa uovu wake katika uongozi ndiyo hao hao wanaohangaika kupaka kaburi lake chokaa!Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.
View attachment 2220919
Duh; Tanzania tunamhitaji sana rais mwenye uthubutu kama huyu. Magufuli alijaribu, lakini alikuwa na double standards.Tayari nyumba 15 za aliyekuwa firstlady Mrs Lungu zimeshikiliwa hadi atakapojitetea na kuithibitishia mamlaka kwamba ni zake kihalali.
You must be mentally challenged.Wanaotamani marehemu aachwe kukosolewa na kulaaniwa kwa uovu wake katika uongozi ndiyo hao hao wanaohangaika kupaka kaburi lake chokaa!
Magu alikuwa hafuati sheria. Tena ingekuwa Magu ndo Hichilema kuna watu wangepigwa risasi hadharani. HH aliteswa sana tu na kupewa kesi ya uhaini lakini anawapelekea moto watesi wake kwa kufuata sheria kabisa. Hadi sasa hivi hakuna mtu aliyeuwawa au kupotezwa. Pata picha ndo ingekuwa Magu.Duh; Tanzania tunamhitaji sana rais mwenye uthubutu kama huyu. Magufuli alijaribu, lakini alikuwa na double standards.
Kuna mmoja wa wake wa marais wastaafu alijimilikisha maghorofa ya iliyokuwa NBC. Huyu alipaswa kuchunguzwa kujiridhisha kama umiliki wa maghorofa yale kupitia NGO yake ya kitapeli ni halali.