MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Sema Hichilema naye anawapelekea moto kimyakimya watesi wake wa zamani kupitia mamlaka ya kuzuia rushwa. Tayari nyumba 15 za aliyekuwa firstlady Mrs Lungu zimeshikiliwa hadi atakapojitetea na kuithibitishia mamlaka kwamba ni zake kihalali. Hilo jambo limemfanya Rais mstaafu Edgar Lungu kusema anayetafutwa ni yeye.