Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

Hichilema wa Zambia kama Magufuli wa Tanzania

Sema Hichilema naye anawapelekea moto kimyakimya watesi wake wa zamani kupitia mamlaka ya kuzuia rushwa. Tayari nyumba 15 za aliyekuwa firstlady Mrs Lungu zimeshikiliwa hadi atakapojitetea na kuithibitishia mamlaka kwamba ni zake kihalali. Hilo jambo limemfanya Rais mstaafu Edgar Lungu kusema anayetafutwa ni yeye.
 
Acha mara moja kumfananisha Rais wa watu-Hichilema na Takataka.Hichilema hajawahi kuwa fisadi Papa kama Magufuli.
image30.jpg
 
Mambo makubwa mawili anayofanya Rais wa Zambia katika kujenga nchi leo ndiyo aliyokuwa anafanya Magufuli enzi za uhai wake. Leo hii Zambia wanafurahi.

View attachment 2220919
Usimfananishe kbs Hichi na huyo, Hichi alitangaza hadharani kila mtu awe huru kukosoa chochote bila bugudha!!! Hapo zaman za kale sasa jaribu kukosoa 🤣🤣🤣 utajua hujui!!!
 
Tayari nyumba 15 za aliyekuwa firstlady Mrs Lungu zimeshikiliwa hadi atakapojitetea na kuithibitishia mamlaka kwamba ni zake kihalali.
Duh; Tanzania tunamhitaji sana rais mwenye uthubutu kama huyu. Magufuli alijaribu, lakini alikuwa na double standards.

Kuna mmoja wa wake wa marais wastaafu alijimilikisha maghorofa ya iliyokuwa NBC. Huyu alipaswa kuchunguzwa kujiridhisha kama umiliki wa maghorofa yale kupitia NGO yake ya kitapeli ni halali.
 
Magu alikuwa hafuati sheria. Tena ingekuwa Magu ndo Hichilema kuna watu wangepigwa risasi hadharani. HH aliteswa sana tu na kupewa kesi ya uhaini lakini anawapelekea moto watesi wake kwa kufuata sheria kabisa. Hadi sasa hivi hakuna mtu aliyeuwawa au kupotezwa. Pata picha ndo ingekuwa Magu.
 
Back
Top Bottom