Hicho kikundi chenu dhidi ya January Makamba hamtafika popote

Sio njaa hatutaki upambe
Vita yenu na Januari havina mantik
Kama havina mantiki mbona hulali unakesha kuvipambana? Na bado. Mtu afeli form 4 (na hapo kaiba mtihani) aende kuunga uunga vyuo vya kata huko ulaya, asomee tuisheni ya kozi ya upatanishi halafu awe na akili ya kuongoza taifa? Aah hatujawa wajinga kiasi hicho
 
Kwahiyo na wewe umelipwa na January ili uje kuwatandika sawa sawa wale wanaolipwa na kikundi cha Wabunge?

Haya, malizaneni, piganeni tena maeneo ya kupiga ni kichwani tu.
Mimi nilipwe haha njoo tulime korosho kama uko serious hahaha u know
 
Kuna mtu fulani mwenye mapungufu makubwa ya kibinadamu aliwahi kuwa rais itakuwa mwanadamu mstaarabu na mwenye akiili January Makamba??
Kila mwenye kosa lake, linasemwa. Nimeshawaambia, aturudishie umeme wetu freshi, maji fresh na bando zirudi kama zamani. Uone kama hatujamsifia mpaka aote nywele.
 
Jiwe hakuwa hata vyeti vya kuungaunga lkn alikuwa rais. Itakuwa January Makamba?
 
We n ngombe mwenzako kafanya field Kwa bil Clinton wakat ww uko Kijiji kwenu nyumba ya nyasi na koroboi huna viatu wala ndala suruali ya shule imechanika
 
Kila mwenye kosa lake, linasemwa. Nimeshawaambia, aturudishie umeme wetu freshi, maji fresh na bando zirudi kama zamani. Uone kama hatujamsifia mpaka aote nywele.
Kwahiyo January Makamba ni waziri wa nishati , waziri wa maji na Waziri wa habari na mawasiliano??
 
ukweli usemwe
 
Kwahiyo January Makamba ni waziri wa nishati , waziri wa maji na Waziri wa habari na mawasiliano??
Usintoe kwenye reli mkuu, nakuorodheshea namna wananchi hatuthaminiki....wewe sjui ni wa Burundi?
 
Yani nimeona umeandika 'ulidhike' nikaona wacha tu nikuhurumie mkuu, najua unapambania ugali wako!!!

Ina maana sijaorodhesha hapo juu nini kifanyike? Una shida nyingi sana mkuu.
Tafuta ela umeme Huwa haukatiki u know
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…