Hicho kikundi chenu dhidi ya January Makamba hamtafika popote

Yaani hata umeme ukatike mwaka mzima January Makamba anazo sifa na uwezo wa kuwa rais.

Anayempima na kumnanga January amakamba kwa umeme atuambie ni lini umeme umewahi kuwa stable nchi hii.

Hawa sukuma gang tumewastukia.
Hilo jina sijui sukuma gang watu washalichoka wanachora tafuteni swaga mpya 2025 Sio mbali mtakalia kuti kavu muipoteze asali msimu huu watanzania hawatanii mjue
 
Hilo jina sijui sukuma gang watu washalichoka wanachora tafuteni swaga mpya 2025 Sio mbali mtakalia kuti kavu muipoteze asali msimu huu watanzania hawatanii mjue
Nenda ukalale kule unaongea nonesense
 
Tatizo anguko lenu vijana mna ndoto za uongozi katika zama mpya alafu mpo mentored na wazee wa Siasa za miaka 1990 [emoji3][emoji3] generation imebadilika sana mtapoteana msipojitazama na mtakumbukaga hizo keki mlizochezea
 
Tatizo anguko lenu vijana mna ndoto za uongozi katika zama mpya alafu mpo mentored na wazee wa Siasa za miaka 1990 generation imebadilika sana mtapoteana msipojitazama na mtakumbukaga hizo keki mlizochezea

Tatizo anguko lenu vijana mna ndoto za uongozi katika zama mpya alafu mpo mentored na wazee wa Siasa za miaka 1990 [emoji3][emoji3] generation imebadilika sana mtapoteana msipojitazama na mtakumbukaga hizo keki mlizochezea
Wachaw n wengi sana yahne
 
Ina maana sijaorodhesha hapo juu nini kifanyike? Una shida nyingi sana mkuu.
Shida unayo wewe unayetumika na sukuma gang kwa ujira mdogo kumchafua Makamba. Fanya yako mkuu acha kutumika kama toilet paper
 
2025 Sio mbali mtakalia kuti kavu muipoteze asali msimu huu watanzania hawatanii mjue
Mtapita njia gani kumtoa 2025? Hivi unajua makali ya shoka (chama) na mpini wake nani kashika?
 
Jiwe your husband, huwez kumsahau mama Jiwe.Nincompoop!
Ilikuwa mbwa ile kwa uongozi wa hovyo, maamuzi ya hovyo na ukatili uliopitiliza. Ndiyo maana unaona huyu mtu wa watu na kiongozi aliyejaa hekima na utu anapambana kuweka Mambo sawa. Shetani na nusu yule ndiyo maana yuko Jehanamu muda huu
 
tameer kama kawa kakasirika
 
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
 
Umeme unakatika unatuletea habari za wivu??

Mbona unatuaminisha zaidi kuwa mhusika hana uwezo na hiyo wizara??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…