Hicho kikundi chenu dhidi ya January Makamba hamtafika popote

Kuna mtu fulani mwenye mapungufu makubwa ya kibinadamu aliwahi kuwa rais itakuwa mwanadamu mstaarabu na mwenye akiili January Makamba??
Ushu.i mtupuπŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜• labda rais wako na mkeo πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•watanzania kibao hawampendi na anajulikana kwa upigaji kwa taarifa yako
 
Mkuu, andiko lako kwa mara nyingine linatukumbisha ya kwamba "mti wenye matunda ndiyo hupopolewa sana kwa mawe"

Pia wapo vijoka mdimu ambao hukaa kwenye miti ya midimu, hung'ata watu ijapokuwa wao wenyewe hawali ndimu..
 
Gesi anayoisemea makamba ni LNG sio LPG io ni community change program kuwa watu waanze kutumia gesi badala ya mkaa
 
Mkuu, andiko lako kwa mara nyingine linatukumbisha ya kwamba "mti wenye matunda ndiyo hupopolewa sana kwa mawe"

Pia wapo vijoka mdimu ambao hukaa kwenye miti ya midimu, hung'ata watu ijapokuwa wao wenyewe hawali ndimu..
Wanakosea kumshambulis mtu ambaye analeta serious renovation Kwa taifa
Mambo ya uongo uongo yalipitwa na wakati
Kama kweli tanesco wanahujumu serikal sizan kama watabaki salama
 
Na chawa wewe kakulipa nani? Nenda kamwambie huyo upara labda ahame Tanzania hii, huu udhalimu ataulipa.

Tutamkamua tu na pesa ya watanganyika ataitolea matundu yote mwilini kwake, iwe leo, iwe kesho, iwe mtondogoo.
Ninahisi hii ni ID ya Marope
 
nchi ina wapuuzi na wanafiki wengi sana hii
unampima waziri kwa kutumia bwawa la mwalimu nyerere tu?
mm siyo mnufaika wa mtu yeyote serikalini lakini january anasakamwa kwa sababu ALIDUKULIWA na MGUFULI
 
Nakubaliana na mleta mada. Kuna mashambulizi ya kimkakati dhidi ya January na yamekuja baada ya jenereta kuzimwa Kigoma.
 
Kwa sababu mtu alitofautiana na magufuli Basi afai huu ujinga unatakiwa ufike mwisho
Standard haiwezi kuwa magufuli was too light
 
Nakubaliana na mleta mada. Kuna mashambulizi ya kimkakati dhidi ya January na yamekuja baada ya jenereta kuzimwa Kigoma.

Nakubaliana na mleta mada. Kuna mashambulizi ya kimkakati dhidi ya January na yamekuja baada ya jenereta kuzimwa Kigoma.
Fitna za wanufaika wa biashara ya mafuta Sasa wamekosa soko ni kumuandama jamaa
 
Sijui unaishi maeneo gani ambapo umeme hausumbui huenda hujatembea pia!, but kuna watu tunateseka sana juu ya huu umeme unakata hadi sio poa. Pence ukweli pasemwe sio kutetea kilakitu eti kisa ni miongoni mwa wanufaika wachache.
 
Umeme umekuwa tatizo. Njaa zenu zitazidi kituletea balaa.
 
Yaani hata umeme ukatike mwaka mzima January Makamba anazo sifa na uwezo wa kuwa rais.

Anayempima na kumnanga January Makamba kwa umeme atuambie ni lini umeme umewahi kuwa stable nchi hii.

Hawa sukuma gang tumewastukia.
Wewe yaelekea kipindi cha Magufuli ulikua usingizini. Nikufahamishetu kipindi cha Magufuli hatukuona upuuzi kama huu.
 
Hao chawa waliotumwa kumchafua na wewe umekuja kumsafisha tofauti yenu ni nini??
 
Atakuwa rais wa mama yako na baba yako na familia yako wewe lakini sio Tanzania hii .

Mb*a nyie mmejisahau sana,dawa yenu inapikwa soon mtainywa kwa kutaka au kwa kulazimishwa .
M0ini wa shoka (chama) umeshikwa na mama. Utapenyea wapi ??
 
Wewe na kipara ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…