Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Hidaya aliimba Pepe Kale ama Kanda Bongoman?
Unforgetable
Kabasele Yampanya a.k.a Pepe Kalle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hidaya aliimba Pepe Kale ama Kanda Bongoman?
Unforgetable
Huyu anakufa kila mwaka au?
Achana na Yanga wewe takataka.Na ndio mwaka wa mwisho Yanga kuingia makundi klabu bingwa Afrika.
Mwanamama maarufu na mrembo Hidaya Khamis Mtumwa almaarufu Hidaya wa Pepe Kalle amefariki Dunia leo asubuhi jijini Arusha, msiba upo nyumbani kwake Kaloleni.
Hidaya alitamba miaka ya mwanzoni mwa 90 baada ya mkongwe wa mziki wa Rhumba Marehemu Pepe Kalle kumtungia wimbo wa kumsifia.
Marehemu ameacha watoto watatu wa kiume.
Pia soma

Kifuatacho baada ya hyo shikamoo marahaba!!!!Nitarudii, Nitarudii kwa ajiliiii ya hidayaa,
Tudum tudum tudum turududum,
Shikamoo, marhaba ndundundu, shikamoo marhaba ndundundu
Sio kweli fatilieni mitandao wakati ule aliyefariki alikuwa mtoto wake anaitwa Leyla Mtumwa aliuawa alikuwa sio mchezo alijaaliwa haswaa alichomwa kisu na mme wake Uk!una kumbukumbu sana mkuu
Aisee umenichekesha ktk uzi huu wa msiba! huyu babu ni fisimj...Baba wa Msoga ataguswa Sana na msiba huu . Wakati wa mambo ya nje. Tukiwa wadogo pale Mageuzi Kalokeni tukiona tu STJ tunajua wa mambo ya nje yupo Arachugaaa.
Kweli maisha huisha.
Marioo la kikongo lileHuyu mmama ni maarufu sana Arusha...ni pande la mama liko hewani..
Lilikuwa linapenda kusaga mirungi hataree[emoji848]
Mwanae si ndo alibeba marioo la kitanzania akalipeleka Uingereza likamchoma visu?[emoji848][emoji848]