TANZIA Hidaya wa Pepe Kalle afariki dunia jijini Arusha

Huyu mmama ni maarufu sana Arusha...ni pande la mama liko hewani..

Lilikuwa linapenda kusaga mirungi hataree[emoji848]

Mwanae si ndo alibeba marioo la kitanzania akalipeleka Uingereza likamchoma visu?[emoji848][emoji848]
 

Apumzike kwa amani Hidaya.

Ila wimbi hili hadi lipishe ipo shughuli pevu.

Pana haja ya kurelejea roll calls kwenye ule uzi wetu pendwa:

 
Hidaya alitoa gari kwaajili ya kumbeba Pepe Kalle kutoka KIA mpaka Arusha alipoenda kufanya show.

Hidaya alijaaliwa uzuri wa kila eneo, basi ukichangia na ule uchangamfu na ucheshi wake, Kabasele Yampanya "Pepe Kalle" akamtungia wimbo maridadi sana uitwao "Shikamoo Seye" akiuimba kwa lugha adhimu ya Kiswahili.

Wimbo huo wa "Shikamoo Seye" unapatikana katika albam ya "Gerant" iliyotoka mwaka 1990 huku baadhi ya nyimbo kali ilikuwemo ile ya "Roger Milla" ambao alitungiwa staa wa zamani wa Cameroun aliyetoka kustaafu soka akiwa na miaka 41 na kwenda kucheza soka katika Fainali za Kombe la Dunia za mwaka 1990 pale Italy na kuiwezesha Cameroun kufika robo fainali na kuweka rekodi timu ya kwanza kutoka Afrika kufanya hivyo.

Marehemu Hidaya mwaka 1998 alisafiri mpaka Congo kwenda kuhudhuria mazishi ya Pepe Kalle ikiwa ni kama kuuenzi urafiki wao!

Pumzika kwa amani Hidaya na msalimie sana Pepe Kalle!!
 

Nitarudi Nitarudi kwa ajili ya Hidaya!! Inaonekana Miaka ya 80-90 alikuwa PISI KALI NA NUSU maana amekufa na uzuri wake.
 
Nitarudii, Nitarudii kwa ajiliiii ya hidayaa,
Tudum tudum tudum turududum,
Shikamoo, marhaba ndundundu, shikamoo marhaba ndundundu
Kifuatacho baada ya hyo shikamoo marahaba!!!!


Ni mauno ya kufa mtu..

Bileku mpasi.
Jully bebe.
Emoro.
Pepe kale.
Pape tax

Hawashikiki...stagini.
 
una kumbukumbu sana mkuu
Sio kweli fatilieni mitandao wakati ule aliyefariki alikuwa mtoto wake anaitwa Leyla Mtumwa aliuawa alikuwa sio mchezo alijaaliwa haswaa alichomwa kisu na mme wake Uk!

Picha marehemu mtoto wa marehemu Hidaya
over
 
Baba wa Msoga ataguswa Sana na msiba huu . Wakati wa mambo ya nje. Tukiwa wadogo pale Mageuzi Kalokeni tukiona tu STJ tunajua wa mambo ya nje yupo Arachugaaa.
Kweli maisha huisha.
Aisee umenichekesha ktk uzi huu wa msiba! huyu babu ni fisimj...
 
Huyu mmama ni maarufu sana Arusha...ni pande la mama liko hewani..

Lilikuwa linapenda kusaga mirungi hataree[emoji848]

Mwanae si ndo alibeba marioo la kitanzania akalipeleka Uingereza likamchoma visu?[emoji848][emoji848]
Marioo la kikongo lile
 
Kwanini Pepe Kalle alimuimba Hidaya, any detailed story?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…