Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Ni chombo tu cha usafiri..hakina uhusiano wa moja kwa moja na mafanikio ya mtu kifedha.Japo ukiwa na fedha ni rahis kumilik gari lakin kuna watu tuna magar na wala hatuna maisha yaaaaleee...kawaida. siku nyingine unapaki unakula toyo au daladala.imeisha hiyo
 
Range siku hizi sio gari za kutisha jamaa anaendesha used car anatunisha ta.ko. Kuna jamaa anaitwa Chris's Lukosi anayauza mengi kwa mafungu pale salasala
Ni upumbavu tu! Magari yenyewe mabovu kwelikweli hayo... namfahamu huyo kijana 😅

Badala ya kutuna na rasilimali zinazozalisha na ku-inspire vijana wenzao kama ni alama ya maendeleo na uchapakazi, wanatuna na magari mabovu, tena wengine wanafirwa ndo wanapewa magari vijana wazima hovyo!
 
Pisi kali hazihitaji hela ya mawazo, kama hutaki ivo oa wako mmoja tulia nae ndani watoto wakali wanahitaji matunzo sio kuwakiwa na Jua kama nguo mbichi.
Hamna Mwanamke mkali wanawake wote wanafanana,na Mwanamke anayejieleqa hasubiri matunzo kutoka kwa Mwanaume atatafuta kazi afanye kisha ajihudumie.
 
Hayupo mtu ambaye kakataa watu tutafute hela na kama kweli umezaliwa hapa duniani usitegemee mtu aje akwambie utafute hela maana ni jukumu lako.

ila huyo jamaa ni mjivuni hii sio video yake moja ni nyingi anakejeli.

kingine usinunue gari kwa ajili ya kuwafurahisha wanawake nunua kwa ajili ya umuhimu wako
We nae hujielewi hivi mtu akijivuna kupitia Mali yake wewe inakuuma nini muache ajivune si mali yake unampangiaje kujivuna wakati hauna mchango kwake na wewe tafuta yako mzee inaonesha unamaanisha magumu maana inakuuma jamaa akiongea muache ajivune Kila mtu anaingia kaburini kivyake
 
Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.

Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.

Hakuna mwanamke atakupenda the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata na gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.

Video hapo chini kaongea mengi
View attachment 2717759

kwako maisha ni gari,,,tena gari za mitumba eti kijana
 
We nae hujielewi hivi mtu akijivuna kupitia Mali yake wewe inakuuma nini muache ajivune si mali yake unampangiaje kujivuna wakati hauna mchango kwake na wewe tafuta yako mzee inaonesha unamaanisha magumu maana inakuuma jamaa akiongea muache ajivune Kila mtu anaingia kaburini kivyake
Utakua unanijua kama ninamaisha magumu ok
 
Ni chombo tu cha usafiri..hakina uhusiano wa moja kwa moja na mafanikio ya mtu kifedha.Japo ukiwa na fedha ni rahis kumilik gari lakin kuna watu tuna magar na wala hatuna maisha yaaaaleee...kawaida. siku nyingine unapaki unakula toyo au boda..imeisha hiyo
Huwezi kuwa na gari ya 30m+ alafu usiwe na maisha safi. Labda kama umeiba
 
Nimeuliza hiyo gari hadi inafika Bongo na kukaa barabarani ina gharimu shilingi ngapi.

Mbona hamnipi majibu wakuu.
 
kwa akili yako mwenye gari ya mil 100 na mwenye uwanja wa milion 10 nani tajili?
Inategemea ni kipi kinaingiza ela, unaweza kuta gari hiyo ingiza faida ya 500k kwa mwezi huwezi ilinganisha na kiwanja cha 10m unachongoja kipande thamani ndio upate ela.
 
Back
Top Bottom