Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.

Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.

Hakuna mwanamke atakupenda the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata na gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.

Video hapo chini kaongea mengi
View attachment 2717759
huyu naye ni maskini tu
 
Nina 20M haina kazi NBC, nafira vijana wapenda dezo wa aina yako wanao-judge watu hovyo mitandaoni wasiowajua kwa kutazama ID zao na avatar... usione haya upo tayari kufirwa uhongwe 20M na Vanguard nyekundu mpya?!
Jina lako na unayoandika ni watu wawili tofauti siku wakikutana watapigana sana
Naomba nikushauri hyo 20M kama haina kazi ipeleke UTT Amis
 
Kununua gari sikuhizi sio ufahari sio kuwa na pesa.... Kununua gari ni sawa kwenda Bar kununua malaya wa kukuburudisha...
Tafuta pesa vijana, gari ni kitu cha kukiandikia thread humu...?
 
Bongo ni jua kali mno gari ni lazima hivyo kama mtu huna gari huna hela muache kujitetea haimaanishi gari ni ufahari big no but kama hauna kabisa maanake una hali mbaya zaidi.
 
Huwezi kuwa na gari ya 30m+ alafu usiwe na maisha safi. Labda kama umeiba
Ungejaribu kunielewa kabla hujakurupuka braza ungenipata vizuri.

Kuna watu wenye pesa.Na kuna watu ambao walipata pesa.
Yan ile mtu paap!! Kapiga dili mshindo umejibu na alikua ana kiu ya kumilik gari na hana sustainable source ya income ingawa hakosi pesa kabisaa ila sio consistent flow..Hawa watu ni tofauti sana.
Na ndio kama hapo mfano uliotoa "labda kama ameiba".Ndio huku sasa kupata pesa kwenyewe nako zungumzia (japo mwingine hajaiba ila ni deal zile za one time).

Kuwa na gari sio kigezo sahihi kwamba mtu anapesa hilo nalisisitiza braza nielewe.
 
Kununua gari sikuhizi sio ufahari sio kuwa na pesa.... Kununua gari ni sawa kwenda Bar kununua malaya wa kukuburudisha...
Tafuta pesa vijana, gari ni kitu cha kukiandikia thread humu...?
Exactly braza..u r right kabisaaa.Gari ni usafir wa muhim sana kulingana na vipaumbele vya mtu tu.Sio proper criteria ya ku judge wealth ya mtu.
Ni kama vile zamani ilivyokua Simu za mkononi..But now days ni something very normal
 
Hamna Mwanamke mkali wanawake wote wanafanana,na Mwanamke anayejieleqa hasubiri matunzo kutoka kwa Mwanaume atatafuta kazi afanye kisha ajihudumie.
AAhh..kazi kwel kwel. Hii falsafa ya mwanaume kujihenyesha ili kumridhisha mwanamke sijui ni nani alifanikiwa kuipenyeza kwenye mindset za vijana na jamii kwa ujumla..Umewaharibu sana watu Na huu haukua mfuko wetu wa maisha kama jamii za kiafrika. Haikua hiv kabisaaa toka kuumbwa kwa dunia.
 
Ungejaribu kunielewa kabla hujakurupuka braza ungenipata vizuri.

Kuna watu wenye pesa.Na kuna watu ambao walipata pesa.
Yan ile mtu paap!! Kapiga dili mshindo umejibu na alikua ana kiu ya kumilik gari na hana sustainable source ya income ingawa hakosi pesa kabisaa ila sio consistent flow..Hawa watu ni tofauti sana.
Na ndio kama hapo mfano uliotoa "labda kama ameiba".Ndio huku sasa kupata pesa kwenyewe nako zungumzia (japo mwingine hajaiba ila ni deal zile za one time).

Kuwa na gari sio kigezo sahihi kwamba mtu anapesa hilo nalisisitiza braza nielewe.
Sawa
 
We nae hujielewi hivi mtu akijivuna kupitia Mali yake wewe inakuuma nini muache ajivune si mali yake unampangiaje kujivuna wakati hauna mchango kwake na wewe tafuta yako mzee inaonesha unamaanisha magumu maana inakuuma jamaa akiongea muache ajivune Kila mtu anaingia kaburini kivyake
mbona kama unamtete huyo mwamba kiaina?
 
mkuu kwa kumkomesha huyo jamaa, wewe nunua Ford zile american, Funga tairi size 50, Horn za meli, shockup za ndege.
 
A developed country is not a place where the poor people have cars,
It's where the rich use public transportation-Gustavo Petro.

Kumbe developed country

Huku developing country unapanda kwenye daladala/mwendokasi mmebanana kama mbuzi wa mnadani, kila mtu ana jasho lake na umeshika bomba..halafu eti una vijisent usimiliki usafiri binafsi, sio kweli.

Shida ni uwezo tu, hakuna jingine..kibongo bongo, private usafiri muhimu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa umechanganya vitu viwili,kua na hela na kumiliki Gari {Sijui kwa kusema kwako kua na hela una maanisha kua na kiasi gani cha hela}
sasa hivi Dunia inahamasisha watu kutumia public transport badala ya private car ili kupunguza Air pollution,issue hapa kwa Bongo kinachotakiwa ni kuimprove public transport,kwa mji kama Dar,hivi kila mtu akimiliki Gari hali itakuaje barabarani?

Luxembourg walideclare free public transport miaka mitatu iliyopita,hii yote katika kupunguza traffic jams na kulinda mazingira.
Ulishawahi kupanda daladala/mwendokasi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom