Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.

Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.

Hakuna mwanamke atakupenda the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata na gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.

Video hapo chini kaongea mengi
View attachment 2717759
Pamoja na Yote.
Dar es Salaam gari ni Basic Need
 
Sio sign of wealth ila kutokua nalo ni sign of nini?

Kibongo bongo kumiliki gari sio kitu kidogo kihivyo, usichukulie poa.

Hakuna anayependa kupanda daladala/mwendokasi, hayupo tusidanganyane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure! Kwa Dar gari binafsi sio luxury ni basic need.
Nikipata hela na mimi lazima ni nunue ndinga kali
 
Kwa developed countries kutumia public transport ni raha na pride, ila kwa nchi zetu hizi unahesabika masikini tu.

Ndio nchi pekee mwenye gari anaonekana kuwa ana hela kumbe ni means ya kumrahisishia kazi zake tu.
We unafikiri ni rahisi kumiliki gari Tanzania?

Ni rahisi kujenga nyumba Tanzania (ukiwa na kiwanja) kuliko kumiliki gari.

Ili uwe na gari uwe na hela cash hata kama ni ya million 5 ila nyumba hata elf 20 unanunua cement unaenda site.

Ishu ni kuzichanga hadi tumilioni kadhaa ukanunue kiusafiri kako kwa vipato vyetu hivi vya ngama.

Watu wananunua gari hadi 3.5m vizuri tu mkuu.

Bongo vitu vingi ni substandard ndio maana tunaweza kumiliki. Hata nyumba kwa viwango stahiki wengi hatuwezi.
 
Watu wananunua gari hadi 3.5m vizuri tu mkuu.

Bongo vitu vingi ni substandard ndio maana tunaweza kumiliki. Hata nyumba kwa viwango stahiki wengi hatuwezi.
Kwa vipato vya kawaida unafikiri 3.5m ni rahisi kuimake?

Yaani hivi vihela vya ngama uvimake mpaka vifike elf kumi 350.

Wakati wengi kula yao shida.

Au wewe hauishi bongo au umevuka poverty line.

Hii nchi ni maskini sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unafikiri ni rahisi kumiliki gari Tanzania?

Ni rahisi kujenga nyumba Tanzania (ukiwa na kiwanja) kuliko kumiliki gari.

Ili uwe na gari uwe na hela cash hata kama ni ya million 5 ila nyumba hata elf 20 unanunua cement unaenda site.

Ishu ni kuzichanga hadi tumilioni kadhaa ukanunue kiusafiri kako kwa vipato vyetu hivi vya ngama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiamua zote unaweza

Ova
 
Ongeeni yote ila msijifariji sana pesa inanafasi yake maishani pesa inaheshimisha japo hutakiwi kuwa na pesa utu ukakutoka ukaona wengine hawana maana ni jambo baya. Ila usije jidanganya kisa huna hela ukahisi hayo ni maisha mazuri unatakiwa uyapende kataa sana umaskini.

Gari siku hizi ki kitu cha muhimu kuwa nacho kitakusaidia kuepuka karaha nyingi sana kwenye jamii na itakufanya uwe na usiri kwenye mambo yako.

Siwezi mpinga mtu anaehamasisha watu watafute hela na jamaa kaongea ukweli jamii zetu kibongo tunathamini vitu. Wenye nazo wanathamini utu wao.
Unatoka nyumbani umepiga pasi vizuri na ka pafyumu kako , unabanwa kwenye daladala/mwendokasi unafika shati halitamaniki ..pafyumu imepotea kisa mchanganyiko wa jasho la abiria wenzako..[emoji23][emoji23][emoji23]

Tusidanganyane hakuna asiyependa gari, shida maokoto ya ngama tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chanzo cha yote haya ni umasikini.

binti anayeamini mwenye gari ana hela,na mwenye gari aliyeliweka kipaumbele kama ishara ya kufanikiwa,wote hawa ni masikini wa mali mpaka akili.
"We need to teach our generation that owning a car is not a symbol of success, and walking does not mean poverty" - The Late Nelson Mandela.
 
"We need to teach our generation that owning a car is not a symbol of success, and walking does not mean poverty" - The Late Nelson Mandela.
Ila hakuna maskini mwenye gari.

Tutaongea sana, na quotations nyingi..ila kibongo bongo, watu hawana magari kwa sababu ya maokoto tu.

Labda mikoani, lakini Dar hii jua linavyowaka na daladala/mwendokasi zinavyojaza...tuacheni unafiki hakuna mwenye uwezo akaacha kuwa na ka usafiri private, hayupo.....labda hela za ndagu[emoji23][emoji23][emoji23]

Maoni yako hayanabudi kuheshimiwa.

Sio kwa nia ya kujikweza, ila mimi binafsi nina gari 2, Discovery 4 hybrid na Nissan Dualis. Gari yangu ya kwanza nilinunua 2012 mara tu baada ya kumaliza Chuo Kikuu, ilikuwa ni Hyundai Coupe Sports car, nikauza.

Mara nyingi kama nikikosa mtu wa kuniendesha huwa napenda kutumia uber au bolt. Kuendesha kumenikinai kabisa. Pengine ni umri, lakini pia sidhani kama ni umri because I am turning 35 next year.

Gari natumia nikitoka nje ya mkoa au nikiwa na safari inayonilazimu sana kutumia gari kwa mizunguko ya mjini. Sioni kama gari ni kitu cha ajabu tena. Tunatofautiana sana kwakweli.
 
Maoni yako hayanabudi kuheshimiwa.

Sio kwa nia ya kujikweza, ila mimi binafsi nina gari 2, Discovery 4 hybrid na Nissan Dualis. Gari yangu ya kwanza nilinunua 2012 mara tu baada ya kumaliza Chuo Kikuu, ilikuwa ni Hyundai Coupe Sports car, nikauza.

Mara nyingi kama nikikosa mtu wa kuniendesha huwa napenda kutumia uber au bolt. Kuendesha kumenikinai kabisa. Pengine ni umri, lakini pia sidhani kama ni umri because I am turning 35 next year.

Gari natumia nikitoka nje ya mkoa au nikiwa na safari inayonilazimu kutumia gari kwa safari za mjini. Sioni kama gari ni kitu cha ajabu tena. Tunatofautiana sana kwakweli.

Hongera kuwa na magari mawili, haijalishi unaona kawaida kiasi gani..ila una uchumi mzuri.

Sasa fanya hivi, ukikosa mtu wa kukuendesha ...panda daladala/mwendokasi, kisha urudi tena u edit hii post yako.

Hiyo bolt/uber kupanda kwenda na kurudi kazini au mizunguko yako hakuna mwenye kipato cha kawaida atamudu...vinginevyo hakuna ambaye angepanda daladala/mwendokasi.

Watu wanakosa buku la kugeuza na gari wapate siti wanashika bomba itakua bolt/uber.

Kutokua na usafiri binafsi hata kupanda uber/bolt throughout chanzo ni kipato, hakuna justification yoyote kibongo bongo hasa Dar..tusidanganyane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kuwa na magari mawili, haijalishi unaona kawaida kiasi gani..ila una uchumi mzuri.

Sasa fanya hivi, ukikosa mtu wa kukuendesha ...panda daladala, kisha urudi tena u edit hii post yako.

Hiyo bolt/uber kupanda kwenda na kurudi kazini au mizunguko yako hakuna mwenye kipato cha kawaida atamudu...vinginevyo hakuna ambaye angepanda daladala/mwendokasi.

Watu wanakosa buku la kugeuza na gari wapate siti wanashika bomba itakua bolt/uber

Kutokua na usafiri binafsi hata kupanda uber/bolt throughout chanzo ni kipato, hakuna justification yoyote kibongo bongo hasa Dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu. Your observation is noted.
 
Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.

Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.

Hakuna mwanamke atakupenda the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata na gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.

Video hapo chini kaongea mengi
View attachment 2717759
Mara nyingi wanaozungumzia na kuona gari Ni kitu cha ajabu Ni wale wasio na uwezo wa kununua gari.

Gari Ni kitu cha kawaida sana .

Nina jamaa yangu kauza gari ,kwa sasa anakipata cha Moto kwa mkewe.
 
Back
Top Bottom