Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

[emoji7] [emoji7] tena ukutane na chuma TATA Konde Boy au Ruwaika eeh utafurahi mwenyewe
Daladala/mwendokasi zifutwe.

Zinadhalilisha na zinavunja haki za binadamu.

Wasio na usafiri na wasioweza kukodi usafiri kama uber wafukuzwe daslam.
Screenshot_20230817-182414.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ukoo mzima hawana Gari unategemea nini?
Hiyo ndio tafsiri ya athari Mbaya za Umaskini.

Fikiria kijana au Binti anaamini kuwa MTU kuvaa vizuri na nguo Safi ndio kuwa na Pesa.
Wanatumia Ile msemo wa Maskini kuwa kuvaa huficha umaskini.
Wanasahau kuwa kuvaa kunaficha umaskini Mbele ya Maskini wenzako.
Ee kumbe?
 
chuma Makumbusho Mbagala hiyo

yaani hapo full kuibiana
Ukifika keko mataa ushashika bomba umechoka umechakaa, unaona mzazi wako au mkeo wanambambia huna cha kufanya...unatia huruma kama kubwa jinga.

Humo ndani kunanuka shombo na jasho la kila aina.

Hizi taka taka hazifai ni laana kabisa.

Tupambanani tuachane nazo, tuache kufarijiana.

#kataadaladala


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukajua bure yaani[emoji119][emoji119]
Si usafiri wa makapuku na watu wa hovyo lazima uwe kama bure.



#kataadaladala

Daladala ni kero

Daladala ni mateso

Daladala ni unyanyasaji

Daladala ni umaskini

Daladala ni laana

Daladala ni usafiri wa makapuku na watu wa hovyo

Wapanda daladala ni mazombi wafukuzwe mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na bado gari litakufa na kuwa skrepa ila uwanja wangu uko palepale. sasa hapo mkuu nani tajiri hapo?
😂😂 we kwel maskini, ivi unajua mtu mpaka apate wazo la kutoa million 100, unadhani ni mdhaha huyu mtu ni tajiri tayari kupata chain ya kushila 100M cash brooo tafuta pesa fedha zinauwa watu
 
TRA na kodi zao kubwa kama tunapeleka magari Peponi ndio chanzo kikubwa cha ajali kwa watu kuendesha magari chakavu na wachache kuamini kumiliki gari ni moja ya mafanikio wakati sio kweli...
 
Unamuuliza nani mimi mleta maada au muongeaji?
mkuu ulikusudia gari ya aina gani maana kiupande wang tajiri ni mwenye gari la million 100..maana atakua analitumia kwenye harakat za kupakia abiria kwa route mbali mbali za mjini ila mwenye uwanja ule utabaki kua uwanja tu maana hautakua na msaada wowote wa kumuingiza kipato
 
Hakuna mwanamke atakupenda the way ulivyo mhudumie mtoto wa watu hata kama huna hela uwe hata na gari anavokuja mtoto wa watu asichoke akae hata kwenye ma AC.
Hayo mambo ya kuhudumia wanawake yamepitwa na wakati, ndio maana wanawake wanatafuta kazi za kufanya ili wajihudumie wenyewe.
 
Back
Top Bottom