Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa.
Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi.
"Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa nguvu zote watu kama hawa, hawana mchango wowote kwenye nchi"