Hii Button (Kitufe) kwenye hii gari hakuna anayejua kazi yake nini na wote wanaogopa ibonyeza

watu wenye akili kama wewe walibaki wachache sana JF yaani hili huw alinanisikitisha sana kwa sasa wengi wamekuwa ni wale wengine. umetoa maelezo mazuri so. jamaa akabonyeze tu siyo kijipu uchungu?
Ahsante mzee

Hakina neno, akibonyeze tuu hamna tatizo kabisa
 
Anaogopa kubonyeza kibutton cha gari,ila kubonyeza kavu kwa demu wake haogopi...
 
Ngoja niseme uongo ili mjuaji aje aseme ukweli hako kabutton kazi yake ni kuiadjut steering inaweza kukufata mbele zaidi au kuishusha chini zaidi ndo hivyo.
 
Hiyo ni voice command mkuu [emoji1787] bonyeza tuu ila tatizo huwa zinaongea kijapan kwhy jipange pia kwenye lugha [emoji1787][emoji1787]
 

Ungejibu swali lake la msingi (la kitufe) haya mengine hayana umuhinu, tupo wengi sana hapa JF muhimu ni “FOCUS” ya kilicho ulizwa ili wote tupate elimu.
 
Kuna gari inaitwa Golf GTI MK7 aisee huyo mnyama ni balaa...ila mkuu Range Rover ni nzito inaweza ikaanza kukimbia hivyo lakini baada ya ya kufika top speed ikawa kawaida...gari za chini ndo hua zinabalaa..i e Porsche 911, VW etc...
 
Muachage uongo bhana, unazijua sekunde 9 wewe?

Ni nyingi au chache?



Koenigsegg Gemera
Inaenda 0-60mph in under 2 seconds

According to some sources wanasema its 12.7

kwaio inaweza kutembea 100km\9sec from 0

Toyota supra ina 4,3 seconds na ni ya kijapan

Nissan GT-R R35 ina 3.7 seconds
... ninyi wote mnazungumzia concept moja - ACCELERATION. Ni gari ipi yenye acceleration kubwa; inayobadili kasi kwa haraka zaidi.
 
... ninyi wote mnazungumzia concept moja - ACCELERATION. Ni gari ipi yenye acceleration kubwa; inayobadili kasi kwa haraka zaidi.
Mnataka kutuambia kwamba kuna magari 'super car' yana speed inayokaribiana na umeme?

Yaani li-accelerate umbali wa KM 100 kwa sekunde 2.5?

Hivi unajua sekunde 2.5 ni almost sawa na kufumba na kufumbua macho mara 3 kasoro

Yaani hata lisipoanzia initial velocity "0" haliwezi kusafiri umbali wa KM 100 kwa sekunde 2.5

Fastest jet kuliko zote ulimwenguni ina-accelerate kwa muda gani umbali wa KM 100?

Kwa heshima na taadhima naomba nirekebishwe kama nimekosea
 
... gari kwenda kwa kasi ya 100km/hr haimaanishi itasafiri 100km kwa sekunde 2.5 bali ina uwezo wa kusafiri 100km kwa 1 hr. Kinachozungumzwa hapa ni kwamba kuna gari zenye uwezo wa ku-attain 100km/hr ndani ya 2.5 sec which is possible. Nikupe mfano mwingie, inawezekana gari kufikia kasi ya 200km/hr ndani ya umbali mita 50.
 

Sawa, nimekuelewa, ahsante [emoji4]
 
Hicho unabonyeza halafu una adjust steering kama unataka kushusha au kupandisha ukikiachia ina lock sehemu unayotaka steering.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…