Hii Button (Kitufe) kwenye hii gari hakuna anayejua kazi yake nini na wote wanaogopa ibonyeza

Hii Button (Kitufe) kwenye hii gari hakuna anayejua kazi yake nini na wote wanaogopa ibonyeza

Kitufe cha kujilipua pale unapoona break zimefail.

(Joking)
 
Baadhi ya gari huja na feature (devices) za huko japan/ulaya mfano kuna gari nilikuta kwenye seat ya dereva chini kabisa karibu na miguu kuna ka device fulani kana sehemu ya kuchomeka card

Nika google kumbe ni kifaa cha kulipia tozo darajani yani unaweka card,ukifika darajani toll (tozo) inajilipa electronically
 
huna gari au una kagari kadogo sana. Range Rover Sports zinatoka 0-100 speed kms kwa sekunde 6.6 we unashangaa hiyo 9? na zipo ambazo ni chini ya hapo.

unatakiwa uwe unafahamu magari usiwe tu unabisha sababu ni maskini. mara nyingi maskini wa mawazo huwa wanatafuta pa kubisha au kukosoa. hiyo kawaida kabisa. nenda kawaulize wenye magari ya ukweli. achana na usafiri maana pengine una babywalker inatumia sekunde 60+
You are so right, ila kama sijakosea point yake nahisi ni kama nilivyofkiri mimi. Kuna super na hyper cars zina enda below that time the so mentioned 9 seconds from 0-60 or 0-100. Ila mimi pia nilishangaa kwa class ya rumion an NA (Naturally Aspired) kukimbia ki hivyo beating Turbocharged automobiles. Mtu unaweza ku mod or tune gari na ukapata more power out of it's motor. Ila kwa stock Rumion kwa huo muda ni ngumu kidogo kuamini.
Correct me if I'm wrong.
 
Ni gia ya kujionesha kuwa unamiliki magari, hakuna zaidi ya hapo!!
Ajionyeshe kwani kuna mtu, anamjua kwa kumuona humu.

Hili jukwaa kwani la nini, hivi mfano mimi nikiandika namiki gari la 200 ml, iwe uongo au kweli inasaidiaje au wewe unaumiaje ikiwa hatujuani. Hata kesho nikipita upo kituo cha daladala hutojua ndiyo mimi.
Hebu tuache chuki na wivu, wa hatari namna hii, sipati picha ndiye awe jirani yako, sijui ungeishi nae vipi.
 
huna gari au una kagari kadogo sana. Range Rover Sports zinatoka 0-100 speed kms kwa sekunde 6.6 we unashangaa hiyo 9? na zipo ambazo ni chini ya hapo.

unatakiwa uwe unafahamu magari usiwe tu unabisha sababu ni maskini. mara nyingi maskini wa mawazo huwa wanatafuta pa kubisha au kukosoa. hiyo kawaida kabisa. nenda kawaulize wenye magari ya ukweli. achana na usafiri maana pengine una babywalker inatumia sekunde 60+
Mimi sina gari na sio mtaalamu wa magari ila hakuna gari ya kwenda km 100 kwa sekunde 9 mniue ila kamwe sikubali

Labda itokee sijaelewa unamanisha nini

Hata gari ya rais haina uwezo huo
 
He!! Acha hizo mkuu vyuma vinaamsha now days balaa usibishane na technologia mkuu
Mimi sina gari na sio mtaalamu wa magari ila hakuna gari ya kwenda km 100 kwa sekunde 9 mniue ila kamwe sikubali

Labda itokee sijaelewa unamanisha nini

Hata gari ya rais haina uwezo huo
 
Gari nyingi za Toyota ni kati ya sekunde 7 -14 kufikia speed ya 100km/h
 
Mimi sina gari na sio mtaalamu wa magari ila hakuna gari ya kwenda km 100 kwa sekunde 9 mniue ila kamwe sikubali

Labda itokee sijaelewa unamanisha nini

Hata gari ya rais haina uwezo huo
Upo sahihi kwa maelezo yako ... ni kweli kabisa hakuna gari inayokwenda 100km ( ubungo - chalinze ) kwa sekunde 9 ..

ila sio hivyo kinachomaanishwa ( hujaelewa )

Kinaongelewa muda uliotumika kuanzia speed 0km/h mpka kufikia 100km/h

Zipo gari zina uwezo wa kutoka speed 0 to 100km/h in less than 10 seconds
 
Mimi sina gari na sio mtaalamu wa magari ila hakuna gari ya kwenda km 100 kwa sekunde 9 mniue ila kamwe sikubali

Labda itokee sijaelewa unamanisha nini

Hata gari ya rais haina uwezo huo
Kwani tukisema Duma/chetah anakimbia kilometer 120 kwa saa unadhani ni kweli huwa anakimbia kilometer hizo zote.

hapa inazungumziwa accrelation yake hata Kama kaishia nusu kilometer lakini tumepima speed yake ya mbio ndani ya hiyo nusu kilometer
 
Unazidi kuchanganya habari, mkuu.
Kwani tukisema Duma/chetah anakimbia kilometer 120 kwa saa unadhani ni kweli huwa anakimbia kilometer hizo zote.

hapa inazungumziwa accrelation yake hata Kama kaishia nusu kilometer lakini tumepima speed yake ya mbio ndani ya hiyo nusu kilometer

Mchapuko (uwezo wa kuvutika kutoka spidi moja hadi nyingine). Kwa wale wasioelewa vizuri kinachozungumziwa hapa, assume magari mawili yameanza kuondoka pamoja, ni gari lipi litakuwa na kasi kubwa baada ya sekunde kadhaa, let say 9?
... ninyi wote mnazungumzia concept moja - ACCELERATION. Ni gari ipi yenye acceleration kubwa; inayobadili kasi kwa haraka zaidi.

Utagundua uwezo wa gari kuchapuka (kupanda spidi) hasa wakati wa ku-overtake. Gari lenye mchapuko mkubwa halichukui muda mrefu kulipita gari lingine.
 
... gari kwenda kwa kasi ya 100km/hr haimaanishi itasafiri 100km kwa sekunde 2.5 bali ina uwezo wa kusafiri 100km kwa 1 hr. Kinachozungumzwa hapa ni kwamba kuna gari zenye uwezo wa ku-attain 100km/hr ndani ya 2.5 sec which is possible. Nikupe mfano mwingie, inawezekana gari kufikia kasi ya 200km/hr ndani ya umbali mita 50.
Uongo.
 
Kwanza Rumion Haina Manual umetudanganya
Mimi Ninayo ya 2011
Hiyo button unayosema Haina Maana yeyote hapa Bongo ..inahusiana na mifumo ya kwao huko either ya barabara kama GPS au road toll nk
Haihusiani na suala la injini au mfumo wa gari
 
  • McLaren P1, BAC Mono - 2.8s. ...
  • Caterham 620R, 2.79s to 60mph. ...
  • Hennessy Venom GT - 2.7s to 60mph. ...
  • Porsche 911 Turbo S (992) - 2.6s to 62mph. ...
  • Rimac Concept One – 2.5sec to 62mph. ...
  • Porsche 918 Spyder, Koenigsegg One:1 – 2.5sec to 60mph. ...
  • Tesla Model S, Porsche Taycan Turbo S, Bugatti Chiron - 2.4s to 62mph.
angalia hizi please ujifunze kitu.. kuna gari zinatumia sekunde 2.5 kutoka 0-100. imagine 2.5 seconds. acha kabisa.
Hii inategemeana na ukubwa wa injini. Alphard to kwa 2.5 naweza pata 60kph
 
Mimi sina gari na sio mtaalamu wa magari ila hakuna gari ya kwenda km 100 kwa sekunde 9 mniue ila kamwe sikubali

Labda itokee sijaelewa unamanisha nini

Hata gari ya rais haina uwezo huo
Maelezo yako ya mwanzo(huna gari na sio mtaalam wa magari) yanathibitisha kabisa kuwa hujaelewa kilichomaanishwa.
 
Back
Top Bottom