Hii chapati niliyotengeneza, usipokua makini utajing'ata Vidole

Hahahha nimecheka tu
 
Hilo zoezi la kupika hivyo jikoni nitaunguza chakula na masufuria kila siku. Wakati sijawa mama naishi mwenyewe bf alikua akija inabidi nipike kabla hajaingia ndani. Maana akifika eti niko jikoni na zoezi la kupika linaingia mapumziko. Nikipata anaejua kupika nitakua napika nae mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo mingano iliyofinyangwa kwa pamoja ndo unaiita chapati? Acha dharau mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwamba mnaanza mechi badala ya kupika ama vepe
 
Biafsi kipindi nilipokuwa nyumba za kupanga kuna siku ilikuwa inatokezea mke wangu anaumwa na hataki niingie jikoni kumpikia eti kisa anaona aibu, lakini sahv siku moja moja namwambia akae pembeni akacheki Sinema zetu then kidume naingia jikoni. Hadi raha
 
swali ni je? wangapi wanafanya hivyo ili kudumisha uhusiano


Sadly hakuna...wengi wanapangiana zamu. Kupika kwa kupangiana zamu kunaboaje sasa.

Baadaye mnapata mtoto/watoto anakuja dada wa kazi..Jumatatu hadi Jumatatu anapika. My friend siku watoto wakikua wakaondoka mnachokanaje. Maana kipindi hiko nguvu za kushinda chumbani kiunoni usiku mzima hamna. Hamkuwa mnafanya kazi pamoja.

Naelewa kuna mihangaiko ya kazi na mtakapopata watoto. Lakini ikiwezekana Jumapili na Jumamosi mkaingia jikoni wenyewe..itawasaidia sana kudumisha ndoa yenu. Yani kama Jumapili ni kumpa dada likizo kabisa..asionekane jikoni.


Haimaanishi mnashinda jikoni siku nzima..ila kama mkipika pilau lenu safi mkaunganisha lunch na dinner...lile lisaa na mnalokaa pamoja jikoni huyu akikata hoho mwingine anamenya matunda...

Mkimaliza mnahakikisha mmesafisha jiko. Aisee baada ya msosi hapo mkienda zenu chumbani, chaga zitasimulia. Kufanya kazi pamoja kuna-strengthen sana mahusiano (sio kupika peke yake).

Usipende kufanya kazi kwa zamu..kila siku uwaze nifanye ninii cha ziada mwenzangu asichoke...nim-surprise na dish gani leo nimewahi kutoka kazini. Mwambie dada nenda kaangalie Marichui nipo jikoni leo nimewahi kutoka. Wengi siku hizi ni baba/mama akitoka kazini hata kama amewahi hiyo siku cha kwanza social media, TV, na kumshurutisha dada mpaka dada anawaombea muwe mnachelewa tu kila siku!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…