Hii chapati niliyotengeneza, usipokua makini utajing'ata Vidole

umesema vyema mkuu
 
Na ndo uswahilin kwetu ilivyo,hasa sie wa majiko ya mkaa,ah mwanaume anawashia jiko ndani,akitoa nje anaweka haraka haraka afu mbio ndani
 
Na ndo uswahilin kwetu ilivyo,hasa sie wa majiko ya mkaa,ah mwanaume anawashia jiko ndani,akitoa nje anaweka haraka haraka afu mbio ndani
Kila kitu kinahitaji utulivu. Hata kwenye kupika, bila hivyo utaripua tu[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38]
 
Mafuta yamezidi,ulikua unaogopa kuunguza?
 
Hii comment sjui niitunze wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…