Hii chapati niliyotengeneza, usipokua makini utajing'ata Vidole

Unajitahidi kupika ila njegere upike za nazi ndo nzuri

Halafu ukimkuta Joseverest amekaa upande anakuna nazi na mbuzi wake utamsema na kumuanzishia thread humu hahaha...

Mimi kwa kweli mbuzi ninayo lakini ni kwa ajili ya wadogo zangu tu wakija. Nikihitaji ladha ya nazi natumia za azam...ingawa mara moja moja huwa najilipua tu ila nikikuna nakuwa na mlango nimefunga kabisa! Wabongo mna maneno sana....

Hii comment sjui niitunze wapi

Nimekufowadia PM.
 
Yaani true kabisa[emoji13] [emoji13] [emoji13] walisema kuhusu ukosoaji kumbe wao ndio wakosoaji wakubwa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha mmegundua na nyie mmekuwa kama hawa wanaume mnaowasema wakosoaji eeh...!


ama kweli nyani haoni kundule...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nataman nikuone unavokuna nazi
 
Nashukuru ntaifoad sehem
 
Mkuu mbona picha umechukua FB umetengeneza ww kweli?
 
Hahahaaa.... Hiyo ndo raha. Ukikosea si anakuelekeza? Ukijua maisha yanasonga. Usiogope kukosolewa.
 
Uwe unakuna nazi ya kutosha unaweka kwenye fridge. Ukikata kupika unapasha tu maji unachuja zako tui. Mi nazi ya azam siwezi kuila tena. Nazi ya kawaida ina ladha kwenye msosi. Ile ya azam unasikia harufu tu ila ladha hamna. Kama dada anakujaga kwako mwambie awe anakukunia aweke kwa fridge uachane na nazi za azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…