Hii chartGPT inatisha sana wakuu ni Next level

Umeona jinsi ulivyo mjinga unafikiri wenzako wanapoangali ubora wa AI wanangalia hizo takataka ulizoandika. Hivyo ni viti vya kawaida sana kwenye ulimwengua wa AI

Ondoa ushamba wako
 
Mashikoro ndo nimeijua leo hii app na utendaji wake.
 
Kuna Siku nilikuwa najaribu kuiuliza Deepseek kuhusu mambo ya china, dah! it was very boring lkn nakubaliana na wewe Deepseek bado nitishio kwa chartgpt.
ukitaka ikijibu irun locally na uedit code maana wao kama wao hawawezi ruhusu hilo labda kama wanataka kufungwa
 
Sasa cha ajabu ni kipi hapo? Si hiyo information inakua fed in kwenye system nakutumika wakati wowote.
Huoni cha ajabu hapo wewe unaweza kutengeneza roboti na likawa linaongea au kuchart na mtu kama real..
Wabongo bhana kwa kujidai wajuaji ni ovyoo sana..
 
What is Deepseek
DeepSeek is an Open-source AI model that uses a mixture of experts approach, making it more efficient and cost-effective than ChatGPT. it excels in technical tasks and mathematical computations, while ChatGPT offers better use experience and broader capabilities.
 
Ok
 
Nitajaribu siku yake kuzungumzia jambo fulani, huenda nikapata connection.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu achana na mzungu, nmetumia hiyo deepseek ila bado saana kwa chatgpt.
 
Yaani nyomi lote hili la wanawake umekosa wa kuchat naye mpaka unachat na ChatGPT!!

Kwanza linacode mix lugha😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…