Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

Kuna clip ya Mbunge mmoja anasema viwanda viko tayari kuzalisha saruji ya Shs 5,000 lakini Waziri amekataa anasema hiyo saruji itasababisha maghorofa kuanguka kwahiyo hakubaliani na hiyo saruji.
Kwa mtazamo huo wa waziri usishangae mishahara itakuwa inalipwa Ijumaa kwa hofu wanywaji watazidisha kipimo wakaharibu kazi katikati ya wiki

SIKILIZA HAPA
 
Hiyo kali
 
Hiyo shughuli yako haitegemei mishahara ya wengine au aitegemei mzunguuko wa fedha za serikali?
 
Ni miaka 7 sasa mishahara tunapokea tarehe 21, 22 au 23. Kama tarehe 21 ikiangukia katikati au mwisho wa wiki mshahara tunaupata tarehe hiyo.
Kwa dharau zile za waziri wa mishahara usitegemee lolote kueleweka hapa
 
Naomba ajira kwenye biashara zako izo kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…