Hii chelewa chelewa ya mshahara inanipa wasiwasi

Kimsingi hamuna malipo yoyote si kwa wakandarasi wala wazabuni wala mradi wowote wa Maendeleo toka mwanzo wa mwezi huu. Hali ni ngumu kibubu kimekauka kabisa.
Itawauwa ntu kwa puresha..
Ss wabeba tofali tunategemea mabos ao tuwajengee vibanda vyao
 
Mimi nafanya biashara ndogondogo sijaajriwa ila kwa jinsi pesa ilivyoadimika huku mtaani sijui ningeishije kwa mshahara wa mwisho wa mwezi.poleni sana watumishi pesa tunanunulia magoli yatakayofungwa na Simba dhidi ya Asec Memosas na Yanga dhidi ya CR Belaozdad
 
Biashara ndogo ndogo ehh
 
Bado hujasema Mr. Civil servant.
 
Bado hujasema Mr. Civil servant.
 
Unafahamu kuna Millitary intelligence?
Tuanzie hapa kwanza..
Najua na Hadi Kuna cheo kinaitwa Chief of military intelligence
Huwezi kulinganisha Military intelligence na TISS ambayo ndio yenye mamlaka kamili kwenye Ujasusi na intelligence
 
Kwahiyo wote wanategemea mwisho wa mwezi wameshindwa kuishi Ila wewe mwenye biashara ndogo ndogo unamudu kuishi.
Njaa za wachache usizifanye ni generally kwa kila mwajiriwa.
Kwanza mwajiriwa Ana security kubwa Sana kuanzia bima ,mikopo kitu ambacho wewe huna.
Mwajiriwa anaouwezo wa kufungua biashara ndogo ndogo Kama yako au zaidi ya unayomilik na akamwajir mtu aisimamie huku akiendelea kufanya Kaz yake.

Leo hii ukifukuzwa hapo unapofanyia Kaz ndogo ndogo ni Waz unapotea mazima kwenye Raman wakat mwajiriwa hata angepelekwa wapi au hata nchi ipate janga gani yeye chake kipo pale pale.Unakumbuka kipindi Cha Corona walimu walikaa mtaan miez Mitatu lakin waliendelea kulipwa ,vipi wewe kipindi kile ungeweza kukaa nyumban na ukaweza kupata hata Mia mbovu.?

Nimeona nikujib maana wengi humu mitandaon mmeibuka mnaamin mna maisha mazuri kuzid walioajiriwa wakat sio kweli Zaid ni wivu wa kukosa hizo Kaz za serikalin mnaishia kujifariji et sijui ningeishije.[emoji706]
 
Najua na Hadi Kuna cheo kinaitwa Chief of military intelligence
Huwezi kulinganisha Military intelligence na TISS ambayo ndio yenye mamlaka kamili kwenye Ujasusi na intelligence
Najua vyote hivyo n ndo maan nimekuuliza..
Kuna kitu unachanganya hakuna mahali nimeongelea Totality Intelligence kwamba mamlaka ya kiintelijensia yanafanywa na Jeshi..

Ila nimesema hivi ntarudia.

Unajua kuna Operation Ngapi zimeafanywa kuinusuri Nchi..?

Kwahyo wote kwa pamoja wanafanya Shughuli za kiintelligence japo Tofauti ni Chain of commands na Aina ya Operation na kingine Nyingi zinazofanywa na jeshi ni Millitary Base..
Na Anayefanya kila aina ya Hizo undwecovee ambaye ni kzi yake Rasmi ni TISS..
Nafikir Tukubaliane hapo..kwanza
 

Pole sana,hizi hasira za kucheleweshewa mshahara!
 
Huu utaratibu alianza nao Mwinyi Senior enzi za utawala wake, all in all mzunguko ni uleule
Sijauliza umeanza lini. Nauliza ni kwanini watu walipwe mshahara kabla mwezi haujaisha. Kwani watu huanza kazi tarehe ngapi?
 
Kama unajua vyote, hebu nitajie majukumu na Kazi za TISS
 
Kama unajua vyote, hebu nitajie majukumu na Kazi za TISS
Sasa hicho mkuu si hta mwanasheria anaweza kujibu kutoka na mIongozo na sheria..
Dah umeniangusha sna kwa hilo swali ambalo liko wide hata mtu ambaye anakaa vijiweni (Vile vijiww vyenye facts lakini) anaweza kuelezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…