Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hzo mambo kamwambie mkeo mbuzi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hzo mambo kamwambie mkeo mbuzi wewe
Unawapa watu matumaini!!Mishahara imeshaanza kutoka subirini.Mi sms imeingia toka NMB tayari.
Hakuna nyongeza?Mishahara imeshaanza kutoka subirini.Mi sms imeingia toka NMB tayari.
November 30. Leo ni November 23. Bado siku 7Kwani mwezi unaisha lini?
Mi nacheki salio NMB App. Yaani nadhani nishacheki mara 30 hivi.Niko na simu jirani tangu asubuhi nasubiri sms lakini hakuna kitu karibu inakata chaji na umeme hakuna aisee noma sana
Juzi kati hapa alienda kuhemea Arabia.Hello,
Ni miaka 7 sasa mishahara tunapokea tarehe 21, 22 au 23. Kama tarehe 21 ikiangukia katikati au mwisho wa wiki mshahara tunaupata tarehe hiyo.
Kama tarehe 21 ikiwa Jumapili au Jumatatu basi Jumanne tarehe 22 tunapata mshahara. Sasa jana tarehe 22 Jumanne kwa kawaida ilibidi watumishi wote tupate mshahara lakini kimya. Mwezi uliopita tulipata tarehe 26 sijui 25.
Kuna nini hapa kati? Je, hii iwe kama alarm kwa watumishi kwamba lolote linaweza kutokea mbele yao? Pay Master ni mpya anajitahidi amudu mazingira au kapu liko na changamoto? Hii mada haihusiani na majibu ya tafuta kazi nyingine nje ya kazi.
Nina shughuli zangu hivyo pesa ya kula si shida kivile. Maana watakuja watu eeeh leo tu unaanza kulalamika
"Tutakua kitimtim Hadi wizara ya elimu" john walkerWalimu tuna hali ngumu
Anaelipwa laki tano akinunua gari itakuajeKama ulipwi milion 6 usinunue gari.
Sent from my iPhone 15 Pro Max
Duh!....zimekwenda wapi hizo pesa ?Wapi nimesema mama hana pesa ya kulipa Watumishi? Ni hivi, mimi ni Mzabuni najua nisemalo. Kama kuna muhasibu au mtu anayesimamia mfumo wa Malipo ya serikali (MUSE) aseme kama wameweza kufanya malipo ya miradi ya maendeleo hadi OC kama zimelipwa toka mwezi wa 10. Nakwambia nchi haina pesa miradi yote imesimama.
Upo sahihi!Kimsingi hamuna malipo yoyote si kwa wakandarasi wala wazabuni wala mradi wowote wa Maendeleo toka mwanzo wa mwezi huu. Hali ni ngumu kibubu kimekauka kabisa.
Sio elimu bure, niradi yote ya maendeleo imesimama. Hakuna fedha iliyolipwa toka October ndio maana hata wale wa SGR hawafanyi kazi na wanapunguza watu. Hakuna OC Maofisini wala malipo ya fedha za maendeleo. Kama kuna mtu yupo kwenye mfuml ule wa MUSE aseme hapa kama nadanganya.DALILI ZINAONYESHA HAZINA HELA NI CHANGAMOTO KWANI NASIKIA HATA ELIMU BURE HAIJAWEKWA YA OCTOBER .
🤣🤣🤣Tena watumishi wa umma kama Tanesco inabidi wazidi kucheleweshewa au wasilipwe kabisa.
Mtu kaanza kazi mwanzo wa mwezi, tarehe 1, kwanini alipwe mshahara tarehe 22? Au 12 kama ulivyotoa mfano?Swali lako uliuliza nini
Sawa sawa, subirini mshahara sasa mwisho wa mweziNovember 30. Leo ni November 23. Bado siku 7
Kwahyo kwakuwa watumishi wanatofautiana siku ya kuanza kazi kwahyo...unapropose kila siku iwe ni Siku ya Mshahara kwa kila mtu?Mtu kaanza kazi mwanzo wa mwezi, tarehe 1, kwanini alipwe mshahara tarehe 22? Au 12 kama ulivyotoa mfano?