Maswali yako yamelenga kujaza server za Jf bila sababu za Msingi.
Hayana Msingi.
Unamjua CDF ni nani? Unajua Mamlaka yake?
Kabisa unajaji matumizi ya ving'ora kwa CDF? seriously?
[/QUOTHawezi kukujibu.Bro, hii nchi inaongozwa kwa katiba na sheria sio utashi wa mtu. Naomba uniambie sheria au kifungu cha katiba kinachompa mamlaka CDF kutembezwa na ving'ora huku akisumbua watu barabarani.
By the way makao makuu ya jeshi yapo Dodoma huku wanafanya nini?
Kuna sababu kwanini haiwezi kuwa hivyoMakazi ya CDF yawe hapo hapo makao makuu ya jeshi ili kupunguza Kero Kwa raia.
hata viongozi wezi nao mungu aendelee kuwalinda?Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII wakampime dereva kilevii.
Msafara wa cdf ulikuwa unapita lakini kabla ya kupita walisimama ma MP kadhaa kuzuia magari na kusafisha njia.
Sasa ndugu yetu huyu wa daladala ametokea goba na speed anaenda mbeza, Askari wa MP wakamsimamisha jamaa akahisi utan akawa anampelekea MPgari.
Jamaa kulinda pumzi akasogea pemben huku anamsimamisha, yaan gari ya mwisho inapita kaipelekea juhudi za drevaaa wa msafara kuikwepa ilikuwa ajali ya kiajabu kabisaa.
Naamini wameleekea mahali stahili baada ya kushusha abiria na adhabu watakayopata aisee iwe fundisho kwa magari yote kuheshimu misafara ya viongozi na hasa pale wanapopewa alama ya kusimama kupisha msafara.
Polen sana wote mliohusika Mungu azidi kulinda misafara yenu
Amen.
So far imepigwa simu dreva na mp wameelekea kurudi njia ya gob bado na googlre wanapoelekea ila nawatakia pole huko waendakoo naamini mp watamfikiria zaidi konda ambae kihualisia ahusiki na yaliyotokea
Mungu endelea kuwatunza viongozi wetu wape heri na uhai wako kututumikia daima amen
Tulikwisha kubaliana kuwa Serikali yote ihamie Dodoma!!Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII wakampime dereva kilevii.
Msafara wa cdf ulikuwa unapita lakini kabla ya kupita walisimama ma MP kadhaa kuzuia magari na kusafisha njia.
Sasa ndugu yetu huyu wa daladala ametokea goba na speed anaenda mbeza, Askari wa MP wakamsimamisha jamaa akahisi utan akawa anampelekea MPgari.
Jamaa kulinda pumzi akasogea pemben huku anamsimamisha, yaan gari ya mwisho inapita kaipelekea juhudi za drevaaa wa msafara kuikwepa ilikuwa ajali ya kiajabu kabisaa.
Naamini wameleekea mahali stahili baada ya kushusha abiria na adhabu watakayopata aisee iwe fundisho kwa magari yote kuheshimu misafara ya viongozi na hasa pale wanapopewa alama ya kusimama kupisha msafara.
Polen sana wote mliohusika Mungu azidi kulinda misafara yenu
Amen.
So far imepigwa simu dreva na mp wameelekea kurudi njia ya gob bado na googlre wanapoelekea ila nawatakia pole huko waendakoo naamini mp watamfikiria zaidi konda ambae kihualisia ahusiki na yaliyotokea
Mungu endelea kuwatunza viongozi wetu wape heri na uhai wako kututumikia daima amen
Luten jenerali Yakubu Hassan MohamedHuyu nae ni nani?
Siku hizi vigolagola vingiWanasumbua watu tu, msafara unaostahili ni Rais, PM na VP. Hao wengine wanalazimisha tu. Misafara kuanzia mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa, IGP,CGI,mkuu wa magereza,CS wanalazimisha tu. Nimeona awamu zote za Urais kuanzia Nyerere haya mambo yamekuja awamu mbili za mwisho. Awamu ya JK na hii ya JPM/SSH.
Sio tatizo lao kiongozi, tatizo kipande Cha bossNi taratibu tulizojiwekea, zipo siku zote. Hawa daladala ni kati ya watu wapuuzi sana barabarani wakifuatiwa na boda boda. Huyo dereva kama wameondoka nae, kazi anayo.
Kwa waTZ wenye vichwa vigumu...nadhani hii ndiyo njia mujarabu kabisa.Huyo jamaa leo atapigwa sana...
Lakini tujiulize, kipigo ni njia sahihi ya kurekebisha maadili ya mtu?
Kama jibu ni ndio, kwanini tusitumie njia hii kwa viongozi wetu wasio na maadili!
Mfano mtu amefanya ufisadi anapelekwa jeshini, anapigwa sana.
Kosa la konda ni lipi?Wakipigwa utaskia kelele humu ohh Askari wakorofi.. sijui kimekwenda kimerudi..
Kuna upumbavu sana kwa raia..
Wacha wakale shumbwela
Mpe salamu zangu huyu mtu na nusuSemaanasiii Bwanaaaa sema na moyooowanguuuu semanasiisiBwanaa semaa na Moyooowanguu kula wimbo mkuu umenifurahisha patasmart gin mbili kwa bili yanguu...
Kwahio raia nao walienda kupata chai pamoja na mkuu😂hata wale mammp nimewapenda sana traffic alipokuja akawashusha abiria janaa wakasemaa no tupabde nao wakashuke tumalizane nao hawa aisee niliogopa walipanda wanne tu
Huwa hasimamishi watu zaidi ya dk 2.. hao askali huwa wanaclear barabara akiwa anapitaWatu wanachoka jamani mtu mnasimamishwa saa nzima kumngojea mtu apite hii si haki.