Wakati ukifika watajitokeza wengine, ndipo tutawachuja na kukutajia. Nchi ingekuwa organized tungeshakuwa na sifa na vigezo rasmi vya mgombea urais. Lakini kwa sasa wanaotajwa ni miongoni mwa waliokataa Katiba ya Warioba, wote hawafai.Kaka una hoja nzuri lakini ni kama unaiparazapara hivi, maana blanket assessment ya watu wasiofaa haitoshi kujenga hoja yako; hebu tupe vigezo vyako vya watu wanaofaa kuwa Rais wetu na tutajie baadhi yao hapa nchini ni kina nani kwa mfano?! Inawezekana wewe unayemuita "Gaidi" wenzio wanamuona ni "Mpigania Uhuru"; na ndio maana unaona wazi hata hapa JF watu wamegawanyika sana kuhusu Tundu Lissu; tupo kina mimi ninayemuona kama "Super Hero" wakati wengine wanamuona kama "Public enemy No. 1";
Hebu funguka!
Kama hawa kina Makamba unasema hawana akili za kutuongoza unamaanisha ni nani wenye akili ya kutuongoza?
Nchi ya kihuni ya kusadikika maana kama mtu ameaminiwa kua waziri kwa zaidi ya miaka nane atakuaje muhuni?Watafutwe mimi sina jina au majina.si mpiga debe wa mtu yeyote.ila siwezi acha nchi yangu iwe nchi ya kihuni.sina ninayempigia debe.
Membe nimewahi kumwona akifanya mkutano na watanzania waliopo nje,hata kuongea hajui,sijui alikuwaje waziri wa mambo ya nje
Kila mwananchi ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwenye nafasi yoyote ya uongozi nchini maadam ametimiza vigezo.
Membe ,January hawafai kuwa marais nchi hii ni Mara 100 ,Magufuli kuliko Membe , Watanzania wengi hawajielewi ila ipo siku wataelewa
Membe hafai , atauza nchi na mtauzwa wananchi
Mie sijasema rais hafai, ninachokikataa ni kudhani wengine hawafai kua ma rais, nchi hii ina watu over 50m we cant say that out of them non can be a president except one person. And you can’t say others do not have brain to rulekama hicho ni kigezo mtu ambaye amekuwa waziri zaidi ya miaka 10 na sasa rais mtasemaje hafai?
Mimi ni kichaa"jiwe"1. AJUE KUSOMA NA KUANDIKA.
2. AWE NA MIAKA 45 na kuendelea.
3. AWE MTANZANIA.
4. AWE NA AKILI TIMAMU, asiwe milembe.
Mkuu unataka kuwa kama dokta Tulia AksonKugombea urais ni haki ya kikatiba ya kila mtanzania. Ingawaje wakinamama bado hatujaaminiwa. Na kule kaskazini mliweka red ink.
Je unakumbuka ķifo cha huyu aliyesema haya? Hakikuwa cha kawaida! Jihadhari yasije yakakukuta na wewe.
Aluvyosema ni kama vile anamaanisha tulikosea kwa JK na sasa ......... Maana kama this time around hatukukosea ina maana tumerekebisha makosa ya nyuma. Sasa tatizo lake ni nini!!?Mbona umeishia kusema tulikosea kwa Kikwete, ulitakiwa kusema na kwa Magufuli pia tulikosea, woga wa watu kama wewe ndio umetufikisha hapa mnaogopa kusema ukweli kuwa huyu wa sasa ni afadhali ya Kikwete.
Hii ya kwako ni kali maana angegombeaje ubunge hajui kuongea, foreign minister for 8 years hajui kuongea, counsilor ubalozini Canada for more than 8 years hajui kuongea. Hata kama hatumpendi kuna issues zinakua exagerated.Membe nimewahi kumwona akifanya mkutano na watanzania waliopo nje,hata kuongea hajui,sijui alikuwaje waziri wa mambo ya nje