Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Sio hajajibu, hajaonesha mahali yeye kajibu.Mbona hujamjibu
Hili ndio jibuAu wewe ndiye huyo shoga unatafuta wateja?🖕🏾🖕🏾
😂😂😂wenye roho ngumu haowewe jinga sana...🤣🤣
Hatari yaanNi huzuni kwakweli
Nope sio kweli hawa mapuga wanakufata tu hata ukiwa ukoje.... Kuna jamaa nilkua nae group la afya telegram... Akapata DM kutoka kwa mgonjwa anadai ana michirizi inamsumbua hivyo amshauri dawa gani nzuri ya kuondoa, yule mgonjwa akamshawishi dokta amtumie pics dokta (jamaa sasa) jamaa akakataa akamwambia tulia michirizi si naijua bana alafu na dawa nishakuelekeza, mara hajakaa sawa yule mgonjwa akatuma pics kumbe ni dume bana alafu lina michirizi kweli kwenye mapaja na makalio yake (lilikua shoga na sio mgonjwa) mara pics zingine za mduku na makalio duuh msela (dokta) ikabidi ablock account ya hilo puga alafu akaja kutu alert kwa group ya kua kuna watu wanafata watalaamu wa afya Inbox [emoji392] wakijifanya ni wagonjwa tena kwa chats za kike kike wanaomba ushauri wa dawa kwa ugonjwa flani na kudeka sana au wanaomba ushauri tu wa ki afya in general ila kumbe ni mashoga..Lazima Kuna mazingira ya kishoga uliyatengeneza wewe mwenyewe
Aambiwe au asifiwe na ye ye mzuriKwahiyo hapa ulikua unahitaji msaada gani mkuu, uchangiwe tone tone ya lodge au?
Picha ya kulia nyeto aucoUshindwe kutembea na vitu vikali, utembee na hayo matakataka.
View attachment 3368196
Acha dharau mkuuHili ndio jibu
Achana na huo uchafu, wanaume halisi hatunaga hayo mambo.Acha dharau mkuu
Watu wanadhani masikharaNope sio kweli hawa mapuga wanakufata tu hata ukiwa ukoje.... Kuna jamaa nilkua nae group la afya telegram... Akapata DM kutoka kwa mgonjwa anadai ana michirizi inamsumbua hivyo amshauri dawa gani nzuri ya kuondoa, yule mgonjwa akamshawishi dokta amtumie pics dokta (jamaa sasa) jamaa akakataa akamwambia tulia michirizi si naijua bana alafu na dawa nishakuelekeza, mara hajakaa sawa yule mgonjwa akatuma pics kumbe ni dume bana alafu lina michirizi kweli kwenye mapaja na makalio yake (lilikua shoga na sio mgonjwa) mara pics zingine za mduku na makalio duuh msela (dokta) ikabidi ablock account ya hilo puga alafu akaja kutu alert kwa group ya kua kuna watu wanafata watalaamu wa afya Inbox [emoji392] wakijifanya ni wagonjwa tena kwa chats za kike kike wanaomba ushauri wa dawa kwa ugonjwa flani na kudeka sana au wanaomba ushauri tu wa ki afya in general ila kumbe ni mashoga..
Mimi sifagilii mambo hayo nimeweka tu watu mjionee Dunia inapoelekeaAchana na huo uchafu, wanaume halisi hatunaga hayo mambo.
Mshauri aende akaponde kokoto, kulima n.k Sifa ya mwanaume ni kufanya kazi ngumu.Mimi sifagilii mambo hayo nimeweka tu watu mjionee Dunia inapoelekea
Sina Cha kujibu mkuu sio.vitu vyanguHiyo sms ya mwisho hujajibu
Sio kweli mkuu😂Unaweza kukuta ushapakuwa kinyesi
Sijuani nae kiongoziMbona ni kama mnajuana....Hakuna maongexi ya namna hiyo kwa Watu ambao hawafamiani..
Shoga anamfuata shoga......Hakuna sexual energy Kati ya shoga na straight...Sijuani nae kiongozi