Hii dunia inatisha sana, Watanzania tuzidi kukaza roho

JF sio reliable source of information..... Lakini pia hakuna reliable source of information popote duniani
 
Chiluba naye alikamatwa na kuwekwa ndani muda mfupi tu alipotoka madarakani na mtu aliyemwamini na kumwachia kiti cha urais Levy Mwanawasa.Jambo lililoonekana kama ni ulipizaji kisasi kwa jinsi alivyomtesa yule Mzee Kaunda kwa kumweka ndani.Hakujua kama kuna watu wameudhika sana na kitendo kile cha kumtesa Mzee wa watu wakiwemo watu wake wa karibu kama Mwanawasa.

Alishitakiwa kwa makosa ya ufisadi.Hata hivyo aliachiwa na kuonekana hana hatia mnamo mwaka 2009

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana Manawasa hakudumu naye akavuta
 
Don't play with america,kosa la Kim ni kukubali kukutana na trump,hapo ndipo alipokosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo bhana!!!!! so alivyokutana na trump nini kilitokea????[emoji23][emoji23]

Halaf huyo kim mwenyew alivyoingia madarakan hao waamerica walidhan atakuwa afadhali kumbe ndo kichefuchef kuliko baba yake .so huwez jua anayekuja atakuwa na balaa gan anaweza akamzid hata huyo kim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kucheza mchezo wa shadow war,inabidi ujipange,usiende na "TISS" yako isiyoweza kulenga shabaa(Lisu akapona)au isiyoweza kufanya mateso(Dr Ulimboka akapona),
Inabidi kwenye system yako,uwe na kitu kinachoshabihana na CIA,secret service,Navy seal,au kile kikosi maalum cha polisi,tulizoea kuwaita "TZR"
Na USA,au Israel huwa hawasahau,watakuwinda kwa Drone,sumu,au hata mapinduzi,
Kwa hapa bongo,inabidi tuwe na ile TISS ya mwalimu,ambayo richa ya kwamba miaka hiyo,kulikuwa hakuna mitandao ya kijamii,lakini impact ya operations zao,ilisikika,mpaka kwa watoto wadogo,kuanzia,Africa kaskazini mpaka kusini mwa Africa,tulipiga covert operations za kutisha,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza kuogopa eeh nyie si mnajifanya wajanja??
 
TumainE njoo huku umeumbuka uongo wako.
 
Ndio tabu ya kukimbilia kuanzisha nyuzi bila taarifa Sahihi pole zake mwenye Uzi
 
Kwa hiyo una comment gani kuhusu TISS ya leo?
 
Kim alikua overweight kama Becky hapa..cha kushangaza watu wa huko kwao hawakuwagi wanene..lol
 
Nazungumzia kutumia drones mfano wa mbu au nzi kumdunga muhusika bila walinzi kujua yeye ujihisi labda ni mbu tu au nzi kamgusa tu Kama alivofanyiwa Kipanki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…