Hii dunia inatisha sana, Watanzania tuzidi kukaza roho

Hasa wale wapigao picha nyumba za ibada shida ya nn ili waonekane kwa watu chagua moja tu kumtumia shetani huwezi mkataa shetani kiroho huku ukimuabudu kimatendo
 
Uwe mjanja kama ile ajali ya chacha wangwe
 
Hizo ni Mythology za Binadamu tu, hao wote walikufa a Natural Death
 
Sawa na wasafisha mikojo ambao akili zao zimefungwa kwenye box awataki kufikiri kuzidi mwenyekiti
Yaani imekuwa fujo mtindo mmoja matarumbeta ya DJ makengeza [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Hivi ukiwa mzuri ukatenda mema hautakufa ?, Hakuna kiumbe hai ambacho hakifi hio ni nature as time goes on cell zinachoka hence kifo.., hata tungeweza kupata dawa tusife basi ingebidi tusizae sababu dunia ingejaa..,
 
Sasa uyajue yote hayo usiyajue ya chacha kweli? Acha utani vp kuhusu zito kutaka uenyekiti bila kusahau sumae sumu haionjwi kwa mdomo
Mwambie aionje Sasa,mamluki hayana nafasi tulishang'atwa,vipi aliyemwekea sumu mzee ashapatikana?
 
Nadhani mnaompinga mmeamua tu kutokutaka kumuelewa. Mtu huyu alitaka kutufahamisha kuwa, mnao/mtakao ingia madarakani popote. Iwe ni kuongoza darasa au iwe kuongoza shule au any community, basi mheshimu aliye kutangulia. Acha kumdhihaki kwa vyovyote vile.
Mifano aliyoitoa ni kutamani kuthibitisha tu maneno yake wala si vinginevyo. Swali kwenu ni; Je, haikutokea hivyo?? Neno la kujiuliza hapa; Ni, Je, anamaanisha kuwa usicheze na USA? Anaweza kukumaliza saa yeyote anayoitaka?? Ndo maswali ya kumuuliza huyu mtu
 
Nilijua kaandika utopolo kama kawaida ya watu wa Facebook kujikuta wanajua kuchambua mambo kumbe wanakopi kwa wajinga.
Elimu! Elimu! Elimu!
 
Mwambie aionje Sasa,mamluki hayana nafasi tulishang'atwa,vipi aliyemwekea sumu mzee ashapatikana?
Ndio ujue huyo DJ ni dikteta hataki chacha aliondoshwa kwa kutaka kugombea uenyekiti kumbe alikuwa hajui hii ni Sacco's ya DJ akafa zito ulivyo taka kugombea hakujua ni kosa kuwa hiyo Sacco's Ni ya DJ salama yake akafukuzwa sumae akataka kugombea uenyekiti hakujua hiyo ni Sacco's ya DJ hatakiwi mtu yeyote akalie kiti zaidi ya mwenye Sacco's yake akaambiwa sumu haionjwi gombea ufe au ondoka upone
 
Mnamuogopa dj kuliko corona.Yule yupo mmemkuta mtamwacha yupo Sana.
Kweli tutamuuacha na uenyekiti wake wa Sacco's na jina lake litakumbukwa alikuwa KUB [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…