raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 12,030
- 37,571
Hata ningekuwa mimi ndio umeme nisingewakaHalafu Mtu Kama huyo utasikia ni Waziri anaongoza wizara ya NISHATi; Umeme utakosa kukatika?
Wale tuliopita special school kwa msuli na kupanga A tano hadi saba huwa tukipata huzuni na ukakasi sana kuona watu waliounga unga elimu zao wakiwa waheshimiwa wabunge na mawaziri wenye vitambi wakitunga sheria za nchi kwa akili mbovu za mtaani! PLATO alipenda sana wenye akili ya darasani "philosopher kings" ndo waongoze nchi ila kwa bongo ni kinyume chake!!
wanaosema ndiyo semeni ndiyo ndiyoooooooooooo, wanaosema siyo semeni siyo siyooo!!
Unawajua akina Rutagwerera wanatoka wapi?
[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2232004
Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?
Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?
Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?
Elimu ya nchii inachezewa sana
Mkuu hiyo dhuluma ya mjomba ikoje ?Sasa huyu aliyepata utajiri kwa dhuluma ya mali za mjomba wake ana kipaji gani?
Hata biashara zake nyingi ni za dili za kihuni tu. Hukumbuki alikuwa anatoa machozi enzi za jiwe alipokataliwa kulipwa malipo hewa ya t-shirt za ccm??
Anataka asome Shahada ya Uzamili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambako amekataliwa kwa kukosa Cheti cha Kidato cha 4. Anataka Bunge liwalazimishe Udsm kumkubalia.View attachment 2232004
Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?
Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?
Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?
Elimu ya nchii inachezewa sana
Kulikuwa na utaratibu wa mitihani ya RPL, ambapo kama mtu ni darasa la saba ila ana ujuzi wowote anataka kuuboresha!! Alikuwa anafanya huo mtihani akifaulu anaingia kusoma bachelor degree moja kwa moja!!View attachment 2232004
Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?
Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?
Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?
Elimu ya nchii inachezewa sana
Unawajua akina Rutagwerera wanatoka wapi?
Huyo mjinga mwambie! Yeye na ukoo wake wote hawamfikii Shigongo kwa kila kitu! Tatizo wanaamini sana Makaratasi kuliko uhalisia!Kwa hizo A zako unahisi Kiakili unamzidi ama upo sawa na shigongo kweli?
Shigongo kabla hajaenda bungeni tayari ni bilionea.
Shigongo kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita Ameajiri zaidi ya watu 100 kwenye kampuni zake kwa zaidi ya miaka 10. Na tena sio ajira za house girl . Bali ni ajira rasmi zinazotambuliwa na nssf na tra na hata wizara ya ajira.
Wewe na A zako umeajiri watu wangapi?
Wacha dharau za kipumbavu wewe! Si ajabu kwanza anakupiga gap hata kwenye kuelewa mambo pamoja na madigrii yako hayo. Hii kitu mbona ameshaielezea kwamba TCU walikuja na kitu kinaitwa Recognition of Prior Learning (RPL) ndicho kilichombeba maana alikuwa na kipaji cha uandish! Ninaamini hata ukikalishwa naye kwenye mdahalo wowote lazima kamasi likutoke!View attachment 2232004
Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?
Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?
Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?
Elimu ya nchii inachezewa sana
mkuu usitumie nguvu kutoa hoja! naona povu tu huna points! elimu inakupa reasoning and technical know how!Kwa hizo A zako unahisi Kiakili unamzidi ama upo sawa na shigongo kweli?
Shigongo kabla hajaenda bungeni tayari ni bilionea.
Shigongo kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita Ameajiri zaidi ya watu 100 kwenye kampuni zake kwa zaidi ya miaka 10. Na tena sio ajira za house girl . Bali ni ajira rasmi zinazotambuliwa na nssf na tra na hata wizara ya ajira.
Wewe na A zako umeajiri watu wangapi?
Anhaa, sasa mbona hazikuorodheshwa hapo pia hizo Prior Learning Recognition... Hilo gap ameruka ni kubwa sana from CPEE to Degree?Amesoma kupitia Recognition Prior Learning mpango wa kujiendeleza kielimu chini ya bodi ya vyuo vikuu. Kwa sasa haupo tena. Kuna mitihani unafanya na vigezo maalum. Kulikua na kozi kadhaa Mzumbe, Tumaini, UDOM na UDSM chini ya huo mpango maalum.
Mkuu utapata sonona usipate tiba. Hiyo ndio inaharibu wasomi the so called “vipaji” kufikiri dunia itasimama kwa ajili yao. Maisha hayako mstari mnyoofuWale tuliopita special school kwa msuli na kupanga A tano hadi saba huwa tukipata huzuni na ukakasi sana kuona watu waliounga unga elimu zao wakiwa waheshimiwa wabunge na mawaziri wenye vitambi wakitunga sheria za nchi kwa akili mbovu za mtaani! PLATO alipenda sana wenye akili ya darasani "philosopher kings" ndo waongoze nchi ila kwa bongo ni kinyume chake!!
wanaosema ndiyo semeni ndiyo ndiyoooooooooooo, wanaosema siyo semeni siyo siyooo!!
Kakuzidi vitu vingi mno acha dharau za kimaskini. Halafu wewe ndo tukuulize kwanini usiende kuwauliza TUDARCO badala ya kuleta majungu hapa?View attachment 2232004
Mweshmiwa wetu huyu, muwakilishi wa wananchi wa jimbo la Buchosa, elimu yake imekaaje?
Chuo cha Tumaini University ndio mna degree za namna hii? tena inaonesha alisoma 2017 mpaka 2020 huu udahili walifanya TCU au?
Mbona waheshimiwa mna elimu za kuunga , au ni utaratibu gani unatumika mtu anatoka la saba anaenda degree ili na sisi tupeleke watoto wetu?
Elimu ya nchii inachezewa sana
Acha wivu dogo!View attachment 2232004

kamuacha pesa sio akiliAcha wivu dogo!
Kakuacha mbali ingawa umemzidi elimu
Labda tuwalaumu hao watu wa kanzidata kwa kushindwa kuweka vema taarifa.Anhaa, sasa mbona hazikuorodheshwa hapo pia hizo Prior Learning Recognition... Hilo gap ameruka ni kubwa sana from CPEE to Degree?