Hii Elimu ya Mbunge Erick Shigongo sijaielewa, naombeni kueleweshwa

Mjomba wake alikuwa na watoto?
 
Kidato Cha nne Ni ubatizo (hata Yesu alisema kubatizwa Ni haki na akabatizwa na Yohana ingawa Ni mfalme), hauna cheti Cha kidato Cha nne uzamili kwenye vyuo vya serikali utausikia kwenye bomba
 
Kwa hiyo Mtu akiajiriii watu kibao Apewe nafasi ya kusoma degreee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Suala la elimu lina utaratibu wake juzi nlisikia alikataliwa Kusoma Masters hata kama ana degree sababu hana cheti cha Form four... TCU walikula mchongo UDSM wamemkataaaa
 
Kidato Cha nne Ni ubatizo (hata Yesu alisema kubatizwa Ni haki na akabatizwa na Yohana ingawa Ni mfalme), hauna cheti Cha kidato Cha nne uzamili kwenye vyuo vya serikali utausikia kwenye bomba
Kwanza wakihitaji Namba ya Form four kwenye Reg sijui unaweka nin... Ile namba hata kwenyw Mkopo wa elimu ya juu inahitajikaa.. Labda TCU wana mfumo wa kuingiza watu vyuoni kihuni
 
ukisimama wewe na shigongo muongelee taaluma yako wewe chakushangaza atakuwa na knowledge kubwa kuliko wewe utakachomzidi ni education tu.Nenda katafute mwenye phd ya public relation mlinganishe na shigongo fanya utafiti ndg kukariri kumetuchelewesha sana .Leo hii watoto wa miaka 12 wanakuwa ma profesa ,jiulize wamesomaje .
 
Nadhani hapo katika hiyo CV yake wachapaji wamekosea kwani ninachojua ni kwamba Shigongo amehitimu Degree yake mwaka jana au mwaka Juzi hapo Tumaini University Mwenge tena akiwa Darasa moja na Florian Kaijage aliyekuwa Azam Media na sasa ni Mhariri wa Amka na BBC kwa Kituo cha Dar es Salaam nchini Tanzania.
 
Anachambua hoja kisomi? Hoja za kisomi zinaeleweka mf. Bungemi wakati wa maswala ya kiuchumi, low demand , high supply, income per Capita, vilaza wote wanasinzia au akiongea ni utumbo. Kwa kilaza ushiriki wake na mataifa ya jirani ni issue.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Tumaini wanapita maofisini wanaokota wafanyakazi wenye elimu ya kuungaunga wanawasajiri kusoma master’s sijui post ilimradi wapate hela.

Yani Eti wanaenda maofisini kushawishi na kutafuta watu wakasome! [emoji848][emoji848]

Kweli kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
 
mwenye elimu ndogo anaongoza akili kubwa.Na elimu cheti hela pia mnakumbuka ipo.?
 
Kwanza umeona huo uandishi wake??!!! Hakuna capital letter, hakuna coma, hakuna nukta!!!
 
This is a true picture of MP's from CCM

Imagine

Kibajaji
Msukuma
Jah people
Saul
Katambi
Mulugo

Hao ndio CCM

Hao Ni watanzania. Katiba inasemaje mkuu. Umefell sana. Zaidi kwa uwezo wao na ubaguzi wako wa wazi Ni dalili kama una Elimu Basi hujaelimika.
 
Sasa huyu aliyepata utajiri kwa dhuluma ya mali za mjomba wake ana kipaji gani?

Hata biashara zake nyingi ni za dili za kihuni tu. Hukumbuki alikuwa anatoa machozi enzi za jiwe alipokataliwa kulipwa malipo hewa ya t-shirt za ccm??

Majungu na kufuatilia Maisha ya watu ndo mtaji wa Mtanzania halisi. Akiguswa utaskia Katiba mpya.
 
Ule uchafuzi uliopita ulikuwa hauhitaji elimu.
Ilikuwa wewe ukimsifia tu Mfalme Juha unapewa nafasi ya Kugombea.

Kilichotokea kila mtu anajua..

Alafu eti hao ndiyo watunga Sheria .
 
Mkuu kwani huo utaratibu wa RPL haupo kwa sasa ?
RPL kwa sasa upo veta TCU waliuondoa mwaka 2017 kwa kauli ya ndalichako na magu akakazia wapitie OUT kupitia foundation programe, kiukweli waliopitia RPL 2015-2016 kwa mfumo wa TCU walitusua wengine walipiga kabisa kozi za science pale SUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…