tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,971
Bado sisi ni unbeaten. Matches za kimataifa tumefungwa moja, draw mbili na kushinda mbili.
Mechi za kimataifa umefungwa moja!???
Rivers si alikuchania chupi nje ndani,
Vipers nae akakupiga MBILI UCHI
Sasa mbona unbeaten zako zinabagua mechi 😀